njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mzalendo nambari moja nchii hii mwenye uchungu kuliko watanzania wote. Mchumi grade A, anayepambana kwa hali na mali kuwatoa watanzania kwenye umaskini, anayelia machozi ya damu akiwaona maskini field marshall Mwigulu aliteua mabalozi watatu wa kodi kuelimisha watanzania.
Hamisa Mobetto, Mbwana samatta na Edo kumwembe, hakika ulikuwa uteuzi mzuri sana uliozingatia vigezo na masharti na unaoonyesha ni jinsi gani awamu hii ya sita ilivyo serious na maisha ya raia wake.
Sasa kuna mkanganyiko juu ya tozo na kodi zinazo tiririka mithili ya maporomoko. Itakuwa ni kosa sana kuilaumu serikali wakati Hamisa, Samatta, na Kumwembe hawajafanya kazi yao. Shame on them, serikali isilaumiwe.