Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
kumetokea sintofahamu juu ya nani hasa wanapaswa kwenda shule ya msingi kwa waalimu wa sekondari hasa baada ya serikali kutoa tamko jingine jana bungeni kuwa watakaoenda huko ni wale ambao walikuwa msingi then wakajiendeleza kielimu ha ha ha ha ha ha waalimu kazi mnayo uzalendo kwanza maslahi binafsi badaae.