Mkanye mkeo nakwambia!

kwa upande fulani inaweza kuwa kweli ila mie nimejifunza kupotezea issue hizo, maana kama ni kweli huyo mwanamke lazima angekufuata akajiintroduce, akakueleza anavyomfahamu mkeo, na jinsi walivyoanza uhusiano na mumewe as well as kukupa ushahidi. lakini si kukurupuka barabarani, what if amepanga kuwaharibia si unajua kina mama hawachelewi kutibuana?

sababu nyuingine ya kupotezea ni kwamba kuna siku nilienda msibani mahli fulani, akaja mtu mmoja na kung'ang'ania kuwa kuna baa ananiona, eti kuwa najikausha simjui wakati kila siku jioni twaonana, nisione noma niongee nae tu hata kama tupo msibani, yaani yule mtu mpaka alikuwa kero, kila nilivyomwelewesha akajijifanya haelewi, badala ya kuconcentrate na msiba sasa watu wakaconcentrate na sisi, nilivyoona kero nikaamua kuhama na kukaa eneo jingine....ndo maana nasema vichaa wengi siku hizi...




Hata ukiminya ndugu yangu...hiyo msg sent and delivererd ila siyo ndogo aisee!!
 
Kwanza kwenye red, inategemeana ni umbali kiasi gani, na ninavyomfahamu mke wangu ana uzoefu na maeneo hayo kwa kiasi gani; eg, kama mke wangu ni mfipa wa Kirando, na hajawahi kufika Sumbawanga mjini, lakini mimi nakutana na mkasa huo pale Kiserian, Nairobi...! huenda nikashidwa kuingiza swala hilo akilini.
Kwenye blue, iwapo kwenye red, inakupa sababu ya kuwa na wasiwasi, basi ufanye juhudi za kumfahamu mwanamke huyo, japo kama ana akili timamu, anaishi wapi, na kama ana ndoa....! Kama majibu haya yanakupa sababu ya kuwa na dukuduku, basi mfahamu mumewe, jaribu kujenga urafiki na wote wawili, na uchunguzi mwingine uendelee zaidi....! Research if your wife may know the family, and to what extent....!
 
wala hakuna kukurupuka kaka n mimi namfatilia yeye huyo mwanamke na mimi nimpe "kitu" ili aone utamu wa nje
 
namwambia nipe contacts zako ili wakiwa pamoja tufanye ufumanizi,akishanipa contacts naanza kumtongoza yeye

Sasa Bby huoni kama ndo atakuadhiri zaidi maana pengine nkeo atakuwa hatoshelezwi nawe sasa wawili utawaweza kweli?
 
Ningekuwa mimi namfuata namtongoza halafu nampa mapigo babu kumbwa na kumfikisha kileleni kama mara 4 hivi ili ajue siyo mvivu
 
Mbona ipo clear hapo. Simply anataka kulipiza kisasi kwa kutembea na wewe. Men don't get it. Do they?
 
Hapana angekua very reasonable angekuja kwa ustaarabu kukuambia ila uyo ni mharibifu, na plz dont take her words
 


...Umenifananisha mama mie bado bachelor, sijawahi kuwa na mke na wala sina mpango wa kuwa naye hivi karibuni.

 
Last edited by a moderator:
No need of evidence, that might be rumours or true...I will check it out though its non of my business....Labda kanifananisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…