mkapa akimtunuku dakta kikwete shahada

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341


kazi ipo hapa
 

Attachments

  • DKJAKAYAKIKWETEUDOM.jpg
    39.4 KB · Views: 151
Haya manguo nilikuwa nayaogopa kweli aah kumbe yakawaida tuu hata watoto wachekechea wanavaaa!
 
Haya manguo nilikuwa nayaogopa kweli aah kumbe yakawaida tuu hata watoto wachekechea wanavaaa!
he he,muda si mrefu watu wataanza kuyatinga kwenda nayo twanga pepeta.
 
Na mimi naomba Phd yangu maana nimelipa ada na huyu Fisadi Kikwete amelipa wapi ada? au ndio ufisadi umeshaanza Udom? Phd ya nini sasa amepewa huyo Kikwete? amefanya kitu gani cha maana katika hili Taifa la Tanzania? au kuchakachua? Na mbona Fisadi Mkapa anazidi kunenepa kama pipa? Kama ingekuwa binaadamu anachinjwa kwenye X-mass basi Mkapa asingebaki maana amenona
 


kazi ipo hapa

kuna wanasiasa wengi au viongozi wengi wanaitwa dr. Eti wamepata shahada za ma dr.
Hawa watu utawakuta mawaziri na kupewa vyeo vikubwakubwa lakini huu udokta wau hawawezi hata kufanyia uperesheni ya panya.

1. Sasa mie nataka kujua kikwete alisomea nini hata apewe shahada?

2. Ni shule gani ambao mkapa alimsomesha sababu najua anayesoma ndio akimaliza kuhitimu ndio anapewa shahada, sasa hapa vipi?

3. Na haya maguo yapo ikulu au kwenye nyumba ya mkapa?

4.serikalini kuna ma dr. Tele
dr.shein na wengine lakini huu udr. Wao mbona hawajui hata kutengeneza dawa za mtu au malaria?
 
Jamani msiwe wakali huyu ni Dk ombaomba, anapiga suti anakuwa matonya ulaya na Amerika,anacha dhahabu,almasi na madini kibao home.
 
Yap namuona Mada Maugo na Francis Cheka
 
Kamanda wa anga ya Tz huyu, hamjaona watoto wa Udom kila sism ikipondwa wanakuja juu. Nasikia kule hata wanafunzi wenye domo domo wanafukuzwa usiku?
 
Jamani huyu ni DK Ombaomba, anapiga suti alafu anaenda kuomba ulaya na Amerika,wala sisi Watnzania hatujamtuma.

Tumemwambia hakikisha madini yetu yanatufaidisha lkn wapi,kila siku kigulu na njia naenda kwa obama, mbona yeye aji?

Acha kuombaomba bwana unatutia aibu,tuna madini,mbuga,bahari,ardhi,watu na siasa chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…