YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mkapa alitusaidia Kama nchi kupata Raisi Safi Magufuli sababu alikuwa na mafaili ya wezi, mafisadi na vibaka ndani ya CCM na serikali. Angekuwa hai angesaidia mno mchakato wa kuchuja watia Nia ubunge na udiwani sababu aliwajua wengi in and out
Mkapa ndie alisaidia nchi kupata Raisi Magufuli .Watu wanaowajua watu ndani ya CCM in and out Ni wawili tu waliokuwa wamebaki ambao Ni Mangula na Mkapa
Mangula aluwekewa kinachoitwa sumu na Mkapa kafariki
Personally Kama Kikwete alivyoshtuka kifo Cha Mkapa Mimi pia nimeshtuka I smell a rotten rat somewhere
Nakuomba Mangula unawajua wengi hao watia Nia msaidie Raisi hao wataka nchi wezi, mafisadi na vibaka wasipate nafasi ubunge Wala udiwani wanaitaka nchi kwa gharama yoyote .
Magufuli kakamaa na Mungu akusaidie hii ni Vita na upambane hasa