Mkapa aliweka ripoti ya Jaji Warioba Kabatini, Tuseme ukweli

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
11,936
Reaction score
15,196
Amani iwekwenu.
Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM.

Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki mkubwa.

Nakuja kwenye hoja. mwaka 1996 baada ya BWM Kuingia madarakani aliunda tume "TUME YA JAJI WARIOBA" tume ilichunguza vitendo vya rushwa na mianya yake ncini Tanzania.

Kwa weledi mkubwa kabisa, Mzee Warioba alifanya kazi yake vizuri na kumkabidhi bwana mkubwa ripoti ya tume yake.

Tume ilisheheni mambo mengi na ilibainisha maeneo mengi yaliyokubuhu kwa rushw awakati ule. ikiwemo polisi, mahakama na serikalini kwa ujumla achilia mbali siasani.

Warioba alimkabidhi BWM ripoti ile ni MKAPA huyu anaysifiwa leo akaitupa KAPUNI kama vile sio yeye aliyeiunda. hapakuwa na hatua yeyote ya maana iliyochukuliwa kuziba mianya zaidi ya kuipanua na kuwa KORONGO.

BWM hakuishia hapo aliunda Tume ya jaji Simkumbuki vizuri kama ni Kisanga au nani. Hii Tume ilichunguza mambo ya muungano baada ya kuletewa taarifa za tume bwana MKAPA alimtukana na kumnanga yule jaji pale Dimondi jubleel kwamba aliandika asiyomtuma.

BWM aliwananga na kuwadharau wanahabari wetu akiwaita hawajui kufanya tafiti na wenye wivu wa kike wakiwemo watanzania wote waliohoji ufisadi wake. marehemu alikuwa mwenye kiburi na mjivuni haswa

Ni BWM ambaye katika awamu yake rushwa ilibadilishwa jina na kuitwa TAKRIMA. kwamba mwanasiasa kutoa rushwa halikuwa kosa bali ilikuwa ni takrima siyo kweli kwamba alipambana na rushwa semeni ukweli

Huyu BWM mnayemuita shujaa leo ndiye aliyeuza banka ya NBC kwa makaburu tena siku isiyo ya kazi kwa bei ya kutupwa. ni yeye huyu aliyetumia anuani ya Ikulu kukopa mkopo binafsi kwa ajili ya kununulia jumba la kifahari.

Huyu BWM alijimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa KIWIRA. Yeye na mkewe walianzisha bank wakiwa bado ikulu

Alitangaza mali zake kwenye tume ya Maadili wakati anaingia madarakani ila hakufanya hivyo wakati anatoka ikulu

Aliuza nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa. hadi baadhi ya mawaziri kama bwana JPM akwawapa mahara na vimada wake.

Mkapa alihongwa mnara wa dhahabu huko Geita. alinunua mashamba ya miwawa na kuibinafsha TANESCO kwa NETGROUP SOLUTION ya SA. akisema haangalii rangi ya paka anaangalia uwezo wa paka kukamata panya

KAGODA, MEREMETA, EPA na kila aina ya ufisadi mkubwa ulitokea enzi za BWM anakuwaje shujaa huyu?

Pumzika unapostahili mzee wangu hakika awamu yako rushwa ilitamalaki.
 
Pili Mkapa ndiye muasisi wa nia ya kuwa na katiba mpya kupitia kitu kinachoitwa "White paper"

Ilipoundwa tume ya Kisanga, ikaja na mapendekezo ya serikali tatu, Mkapa akang'aka, akasema hakuwatuma wajadili ishu ya muungano, mchakato akauweka kabatini mpaka alipokuja JK na kuufufua upya mchakato kwa kuunda tume ya warioba!

Katiba mpya haikwepeki, katiba hii ya chama kimoja ni kikwazo cga maendeleo, hasa kwenye kulinda freedoms za watu!
 
Amani iwekwenu.
Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM.
Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki mkubwa.
Nakuja kwenye hoja. mwaka 1996 baada ya BWM Kuingia madarakani aliunda tume "TUME YA JAJI WARIOBA" tume ilichunguza vitendo vya rushwa na mianya yake ncini Tanzania.
Kwa weledi mkubwa kabisa, Mzee Warioba alifanya kazi yake vizuri na kumkabidhi bwana mkubwa ripoti ya tume yake.
Tume ilisheheni mambo mengi na ilibainisha maeneo mengi yaliyokubuhu kwa rushw awakati ule. ikiwemo polisi, mahakama na serikalini kwa ujumla achilia mbali siasani.
Warioba alimkabidhi BWM ripoti ile ni MKAPA huyu anaysifiwa leo akaitupa KAPUNI kama vile sio yeye aliyeiunda. hapakuwa na hatua yeyote ya maana iliyochukuliwa kuziba mianya zaidi ya kuipanua na kuwa KORONGO.
BWM hakuishia hapo aliunda Tume ya jaji Simkumbuki vizuri kama ni Kisanga au nani. Hii Tume ilichunguza mambo ya muungano baada ya kuletewa taarifa za tume bwana MKAPA alimtukana na kumnanga yule jaji pale Dimondi jubleel kwamba aliandika asiyomtuma.
BWM aliwananga na kuwadharau wanahabari wetu akiwaita hawajui kufanya tafiti na wenye wivu wa kike wakiwemo watanzania wote waliohoji ufisadi wake. marehemu alikuwa mwenye kiburi na mjivuni haswa
Ni BWM ambaye katika awamu yake rushwa ilibadilishwa jina na kuitwa TAKRIMA. kwamba mwanasiasa kutoa rushwa halikuwa kosa bali ilikuwa ni takrima siyo kweli kwamba alipambana na rushwa semeni ukweli
Huyu BWM mnayemuita shujaa leo ndiye aliyeuza banka ya NBC kwa makaburu tena siku isiyo ya kazi kwa bei ya kutupwa. ni yeye huyu aliyetumia anuani ya Ikulu kukopa mkopo binafsi kwa ajili ya kununulia jumba la kifahari.
Huyu BWM alijimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa KIWIRA. Yeye na mkewe walianzisha bank wakiwa bado ikulu
Alitangaza mali zake kwenye tume ya Maadili wakati anaingia madarakani ila hakufanya hivyo wakati anatoka ikulu
Aliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa. hadi baadhi ya mawaziri kama bwana JPM akwawapa mahara na vimada wake.
Mkapa alihongwa mnara wa dhahabu huko Geita. alinunua mashamba ya miwawa na kuibinafsha TANESCO kwa NETGROUP SOLUTION ya SA. akisema haangalii rangi ya paka anaangalia uwezo wa paka kukamata panya
KAGODA, MEREMETA, EPA na kila aina ya ufisadi mkubwa ulitokea enzi za BWM
anakuwaje shujaa huyu?
Pumzika unapostahili mzee wangu hakika awamu yako rushwa ilitamalaki.
Ndimi LOFA
Sasahivi rushwa imeisha?
 
Report ile Mkapa aliiweka Kabatini na aliwahi kutaja sababu ya kufanya hivyo

Warioba alijitengenezea hadidu za rejea zake badala ya zile alizopewa. Mkapa alitaka kupata vyanzo vya ruswa, namna ya kudhibiti..kuzuia na kutambua Uwepo wa Rushwa na dalili zake lakin report ikajipa jukumu la kutaja watuhumiwa wa Rushwa wa tawala za nyuma na ndipo akina Nalaila Kiula wakatajwa kwny report
 
umekuja na mapya mkuu. kwamba unaweza kuandika riport bila mapendekezo? kwahiyo aliacha kusoma ripoti yote akasoma mapendekezo tu mengine akaachana nayo?
 
... na ya Jaji Kisanga (rip) pia. Kati ya maraisi waliotupa ripoti za tume walizoziteua nadhani Hayati Mkapa anaongoza.
 
Unajua kuwa mapendekezo msingi wake ni hadidu za rejea?
umekuja na mapya mkuu. kwamba unaweza kuandika riport bila mapendekezo? kwahiyo aliacha kusoma ripoti yote akasoma mapendekezo tu mengine akaachana nayo?
 
Mlikuwa wapi kusema wakati yupo hai

SUBIRI KIDOGO
 
Kwa Mila na Desturi za Mwafrika ( Kiafrika ) ni Upumbavu ( Upopoma ) usiovumilika kwa Kumuongelea vibaya Marehemu tena aliyezikwa karibuni!!
 
Report ile Mkapa aliiweka Kabatini na aliwahi kutaja sababu ya kufanya hivyo

Warioba alijitengenezea hadidu za rejea zake badala ya zile alizopewa. Mkapa alitaka kupata vyanzo vya ruswa, namna ya kudhibiti..kuzuia na kutambua Uwepo wa Rushwa na dalili zake lakin report ikajipa jukumu la kutaja watuhumiwa wa Rushwa wa tawala za nyuma na ndipo akina Nalaila Kiula wakatajwa kwny report

Sasa utazungumzia rushwa bila kutoa mifano ya wala rushwa na zilivyofanyika?

Kama alitaka hayo unayoyasema the best way ya kwenda siyo kuunda tume, bali kufanya research kwa kutumia wataalamu wetu wa tafiti wa vyuo vikuu!
 
Tatizo hakuwa na ufahamu wala ufuatiliaji mkubwa katika maswala ya nchi kama alivyokuwa amenadiwa na Mwl.Nyerere.

Hadi alipokuja Raisi Kikwete aliwafunga mawaziri wake wawili Yona na Pesambili Mramba nusra amfunge Balozi Professa Mahalu.
 
Amani iwekwenu.
Jana tumemlaza mzee wetu kaburini. Ni bwana BWM.

Huyu ni raisi wa awamu ya tatu wa Tanzania. mengi yalisemwa ya kweli na ya uongo. ni hulka ya mtu mweusi.mfanowe ni musiba, huyu alimwita marehemu mwizi lakini juzi aliibukia msibani hata kupiga magoti mbele ya mjane. mnafiki mkubwa.

Nakuja kwenye hoja. mwaka 1996 baada ya BWM Kuingia madarakani aliunda tume "TUME YA JAJI WARIOBA" tume ilichunguza vitendo vya rushwa na mianya yake ncini Tanzania.

Kwa weledi mkubwa kabisa, Mzee Warioba alifanya kazi yake vizuri na kumkabidhi bwana mkubwa ripoti ya tume yake.

Tume ilisheheni mambo mengi na ilibainisha maeneo mengi yaliyokubuhu kwa rushw awakati ule. ikiwemo polisi, mahakama na serikalini kwa ujumla achilia mbali siasani.

Warioba alimkabidhi BWM ripoti ile ni MKAPA huyu anaysifiwa leo akaitupa KAPUNI kama vile sio yeye aliyeiunda. hapakuwa na hatua yeyote ya maana iliyochukuliwa kuziba mianya zaidi ya kuipanua na kuwa KORONGO.

BWM hakuishia hapo aliunda Tume ya jaji Simkumbuki vizuri kama ni Kisanga au nani. Hii Tume ilichunguza mambo ya muungano baada ya kuletewa taarifa za tume bwana MKAPA alimtukana na kumnanga yule jaji pale Dimondi jubleel kwamba aliandika asiyomtuma.

BWM aliwananga na kuwadharau wanahabari wetu akiwaita hawajui kufanya tafiti na wenye wivu wa kike wakiwemo watanzania wote waliohoji ufisadi wake. marehemu alikuwa mwenye kiburi na mjivuni haswa

Ni BWM ambaye katika awamu yake rushwa ilibadilishwa jina na kuitwa TAKRIMA. kwamba mwanasiasa kutoa rushwa halikuwa kosa bali ilikuwa ni takrima siyo kweli kwamba alipambana na rushwa semeni ukweli

Huyu BWM mnayemuita shujaa leo ndiye aliyeuza banka ya NBC kwa makaburu tena siku isiyo ya kazi kwa bei ya kutupwa. ni yeye huyu aliyetumia anuani ya Ikulu kukopa mkopo binafsi kwa ajili ya kununulia jumba la kifahari.

Huyu BWM alijimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa KIWIRA. Yeye na mkewe walianzisha bank wakiwa bado ikulu

Alitangaza mali zake kwenye tume ya Maadili wakati anaingia madarakani ila hakufanya hivyo wakati anatoka ikulu

Aliuza nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa. hadi baadhi ya mawaziri kama bwana JPM akwawapa mahara na vimada wake.

Mkapa alihongwa mnara wa dhahabu huko Geita. alinunua mashamba ya miwawa na kuibinafsha TANESCO kwa NETGROUP SOLUTION ya SA. akisema haangalii rangi ya paka anaangalia uwezo wa paka kukamata panya

KAGODA, MEREMETA, EPA na kila aina ya ufisadi mkubwa ulitokea enzi za BWM anakuwaje shujaa huyu?

Pumzika unapostahili mzee wangu hakika awamu yako rushwa ilitamalaki.
Weka kipande cha Musiba alichosema mkapa ni mwizi, kisha tuendelee.
Vinginevyo utakuwa mchochezi wewe.
 
Baada ya kumchamba marehemu umepata nini?
Lengo kuu lilikuwa lipi?
Tukishaujua ubaya wa marehemu tufanyaje?
 
Back
Top Bottom