Elections 2010 Mkapa, CCM na uchaguzi wa 2015

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
Naomba nisipewe jina la Shekhe Yahya au Pweza Paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, CCM wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, Je CCM kumrejesha Mkapa 2015 kuokoa jahazi?
 
Mkapa ni fisadi, kama atarejeshwa atazamisha jahazi badala ya kuliokoa.
 
Ingekuwa hivyo ingekuwa afadhali mara milioni maana mkapa alijua anachokifanya siyo kama huyu zumbukuku hajui hata kwa nini nchi yake ni maskini.
 
naomba nisipewe jina la shekhe yahya au pweza paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, ccm wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, je ccm kumrejesha mkapa 2015 kuokoa jahazi?
pole tanzania.
 
Naomba nisipewe jina la Shekhe Yahya au Pweza Paul,kwa vyovyote vile kwa mwenendo jinsi ulivyo kwa sasa, CCM wanawinda chini ya siasa za maji taka. Kila kundi linajipanga kwa 2015, Je CCM kumrejesha Mkapa 2015 kuokoa jahazi?

... we mangi kiboko!
Ili kumrejesha Mzee Mkapa basi itabidi waachane na ku-ridicule Mzee wa watu katika hatua zake za kutetea haki za baadhi ya watumishi waliokuwa ndani ya serikali ya awamu ya tatu.
 
Thread zingine bwana zinabore. Usiandike tu kwa vile unajua kusoma na kuandika. we need tangible things.
 
Tumefikia wakati wa kukata tamaa na kufikiria kupiga hatua za kwenda nyuma badala ya kwenda mbele.Kuna mambo mengi yalitokea kipindi cha Mkapa
  • Ufisadi wa rada.
  • Ndge ya rais ilinunuliwa kipindi chake tukaambia hata kama ikibidi kula majani lazima ndege Inunuliwe.
  • Ufisadi wa EPA ulitokea awamu hiyo hiyo.
  • Majengo pacha ya benki kuu yalijengwa wakati wa Mkapa,licha kwamba our economy was not able to sustain vile vile gharama ziliongezwa bila huruma.

    [*]Mikataba ya kifisadi ilipitishwa kipindi chake.
    [*]Wazawa walidharauliwa mbele ya wawekezaji wa kigeni mfano ubinafsishaji wa Kilimanjaro Hotel.
    [*]Yeye mwenyewe alivunja katiba kwa kufanya biashara bado hakiwa ikulu mfano Banki M na kiwira.
    [*]Nyumba za serikali walijiuzia viongozi wapya wakaishi kukaa mahotelini.
Wacha wamalizane wenyewe kwa wenyewe hili tuweze kupata kiongozi bora.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…