SI haba lazima rais anaeondoka awe na kitega uchumi
tumeona wake za marais..mama mkapa kaondoka na fursa sawa kwa wote..mama kikwete kaja na wama..si haba kujikumbusha ben kaondoka na kabank chake Bank M je Rais kikwete umejiandaa na Bank Gani??ni ushauri tu si haba na wewe ukaondoka ukiwa na kasehemu cha kukushikiza miaka iliobakia ukiacha ile ruzuku ya kila mwezi.wish dk kila la kheri for a new bank
rgds
mjasiriamali
Mbona mnasahau urafiki wake na Sinclair na Joseph Kahama? Kuna tetesi naye ana kafungu kule machimboni.Kikwete kajiingiza kwenye Mitandao ya walafi na wahujumu uchumi, huyu akitoka madarakani ndo ataumbuka kabisa, huyu anaeshindwa kuweka mgawanyo wa mabo ya familia na utawala wa nchi, mmmh sijui.
Bagamoyo Peoples Bank