Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Hii lugha gani umeandika mkuu?Mkapa has an excellent command of the queens language. Ni comparison nzuri sana ya elimu ya university of east africa na udsm, Kikwete akiongea kiingereza sikai as comfortably kwenye kiti compared to when bm speaks
pamoja na mapungufu yake yote,Rais mstaafu Ben Mkapa kutokana na kutumia kiswahili fasaha katika hotuba zake,alituachia maneno mengi ameyaingiza katika matumizi ya kila siku ya lugha yetu ya kiswahili ambayo uko nyuma yalikuwa hayatumiki.
Mfano: Miundombinu,mipango endelevu,mipango shirikishi,utandawazi,wigo wa uchumi na mengineyo.
Kilugha,hotuba za muheshimiwa huyu zilikuwa na mvuto sana iwe kiswahili au kiingereza.

Yaani inasikitisha sana watu wanavyojitahidi kutetea mambo hata yaliyowazi kabisa kwamba ni makosa. inakuwaje mtu unadiriki kumsifia kinara wa ufisadi. yaani inasikitisha sana. WaTz tuamke sasa.
Lugha ni jambo jingine hakika simnyimi haki yake kwamba amejitahidi kuendeleza na kukienzi kiswahili.
Kwenye hotuba na jinsi anavyojua kuongea excellent........labda na fani inamsadia maana nasikiaa ni mahiri sana kwenye fani yake uandishi wa habari...hasa za kiingereza