Wanajamvi, hivi ni kwanini Marais wastaafu Mzee Mkapa na Mzee Mwinyi hawashiriki katika kumpigia kampeni Kikwete???!!!!!, kama sikosei tangu kampeni zimeanza sijawahi kuwasikia katika kushiriki kampeni za JK. kuna nini??
.Mbona Mtei, Makani et al hatuwasikii? tunaona mambo ya family affairs tu Dr Slaa, Josephine "mchumba" Mahimbo, Rose Kamili nk
Usiwaingize watu na heshma zao katika masuala ya familia ya mtu, hata hivyo mkapa ni mtu smart sidhani kama anaweza ana muda wa kufuatilia maswala ya ndani ya Jk na familia yake.
Hakuna upinzani wenye nguvu this time around.Njia ni nyeupeeeeeeeee kwenda Ikulu.
Kwa taarifa tu JK ni "mgombe binafsi" ila anatumia tu jina la CCM. Kwa kuwa uraisi hauna ubia na mtu na mwaka huu 2010 JK yupo "kifamilia" zaidi.
Mbona Mtei, Makani et al hatuwasikii? tunaona mambo ya family affairs tu Dr Slaa, Josephine "mchumba" Mahimbo, Rose Kamili nk
Watu wa chapati bana, kila kitu rahisi tu; hata kushika ukuta hakuna shida!.
Umeshapakatwa leo?
Originally Posted by Nyumbu-
Watu wa chapati bana, kila kitu rahisi tu; hata kushika ukuta hakuna shida!.
Umeshapakatwa leo?
hahaaaaaa hii imenifanya niuzime kompyuta nilale ..dahhh mbavu zangu mie ....kashapakatwa ????