Mkapa Stadium

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Posts
17,296
Reaction score
18,027
Léo 9/10/2020

Kesho kutwa mechi. T Stars vs Burúndi.

No comment
 
Reactions: BAK
Sijui kwanini wasifanyie uwanja wa uhuru. Imeniuma sana hii
 
Hapa ndiyo naonaga umuhimu wa kutenganisha CCM na viwanja vya michezo...

Chama kinatuharibia viwanja vya michezo....
 
CCM na ubabe wa kijinga. Sijui wameona raha gani sasa baada ya kuharibu uwanja! Tatizo ni mkuu mwenyewe anawaza madaraja na mabarabara, michezo sio kipaumbele chake kabsa [emoji3166][emoji3166]
 
Ni wivu tu, acheni wananchi wale matunda ya Nchi yao
 
Rais Magufuli amepewa kibali cha kufanyia kampeni Uwanja wa Mkapa na nani?
Nauliza tu waungwana.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…