Hii ilishawahi kukutokea? Na ulichukua hatuna gani?
Wadada Kwa wakaka itaneni hapa..
.
Ulishawahi kuwa kwenye mapenzi yenye Mikasa ya ajabu mara fumanizi na vitimbili vya Kila namna?
Hatari! Kuna rafiki yangu alipitia magumu kwenye mahusiano yake usaliti, vipigo, masimango na vitu kibao. Siku Moja jamaa yake akamuita wazungumze basi akakubali na kumueleza amebadilika ameiacha Kila kitu.
Rafiki yangu akamwambia kama umebadilika nipe simu yako. Jamaa akampatia simu, Weeh alichokutana nacho ni mtihani. Dunia ina maajabu yake Looh!. Amekuta ujumbe "Fulani bin Fulani nataka huyu mtu asifanikiwe Kwa chochote na umfunge Kila kitu" .
Rafiki yangu alichukia hakujua afanye nini. Je, ungekuwa wewe ungechukua hatua Gani? Na ungefanya nini Kwa huyo mtu? Je huyo jamaa anamapenzi ya ukwel?