Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

Mkasa mfupi, mzito wa mapenzi

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2021
Posts
231
Reaction score
331
couple-fight.jpg
Mimi ni msichana mwenye miaka 17 nipo form three (kidato cha tatu) katika shule moja hapa mjini. Nimekuja huku leo ili kuomba ushauri mimi ninasoma shule ya day na ninaishi kwa dada yangu ambae ameolewa,Tatizo ni kwamba dada yangu huwa anaingia kazini usiku hivyo kuniacha mimi na mumewe nyumbani pamoja na watoto wake toka naanza form one.

Ilikuwa ivyo ila nilipoingia kidato cha tatu siku moja shemeji alainifauata chumbani wangu na kuanza kunibembeleza tuwe na kimapenzi nilikataa mwanzoni cz nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi.siku iliyofuata alikuja tenah na akaniambia nikikataa atamwambia dada yangu kuwa huwa naleta wanaume kwenye nyumba yake na dada anamuamini sana shemeji kuliko mimi hivyo atanifukuza nirudi kijijini na nanitakosa masomo hivyo nikamakubalia akaanza kuwa na mimi kimapenzi huku akainaahidi kuficha siri na kunipatia zawadi na pesa.

Ila juzi kunamdogo wangu wa form one anamiaka 14 alikuja kusalimia likizo hivyo tukawa nae hapo nyumbani juzi mimi nilipomsindikiza dada usiku ile aende kazini usiku kama kawaida yake shemeji nae akanipigia sim niende kwa rafiki yake nikamletee docment zake za kazini Mungu mkubwa ile anakata sim nikamuona rafiki yake huyo akaniambia hana document yeyote ya shemeji bhasi mimi nikawahi nyumbani kufikia namkuta shemeji yuko na mdogo wangu chumbani wanafanya mapenzi iliniuuma sana lakin shem alisema tuyamalize dada asijue kwani itakuwa aibu kubwa na sie wote tutafukuzwa.... akatuahidi kutupa shilingi milioni moja ili tusiseme.

Hakuishia hapo akamwambia dada huyu mdogo wangu anatakiwa aje akasome mjini ili afaulu masomo vizuri kwani kijijini hakuna walimu sasa jana ndio kaenda kushuhulikia uhamisho ili mdogo wangu aje kusoma hapa hivyo atakuwa kimapenzi na dada yangu mimi mwenyewe na mdogo wangu dada hajui lolote .....nishaurini nimwmbie dada yangu hali halisi, nikae kimya nimalize masomo yangu niondoke ,,,au nitoreke hapa kabisa wapendwa nipo kwenye kiza kinene hata shuleni sielewi kitu tangu huu mkasa.

HOODBOY
 
Sasa hata ukitoroka itabadili nini sana tu utamiss dudu la shem wako, cha msingi pambana tu uwezo ingekua umemkatalia toka mwanzo hapo ningekushauri lakin kumbe ushampa kibwenye hapo ni no way kwa kweli.
 
Subir mpate mimba ndio akili zitawakaa sawa. Kukubari kuficha siri ndio kuendekeza madhambi yenu
 
Mwambie dada unaomba usome bodini,au mchatishe huyo shemeji yako msg za ushahidi Kisha mwambie dada kuwa wew mazingizlra Shem anayokuwekea ni mabayo so you need to change, otherwise ipo siku dada yenu atajua na hautakuwa na wa kukutetea.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Na simu ulinunuliwa na nani? huu mwandiko sio wa umri wa miaka 17
 
Acha kuleta hadithi za kitoto hapa JF. Una-copy na ku-paste vihadithi vya sekondari hapa!
Aaa mjuba tatizo nn unatakiwa ubadilishe ladha skumoja moja sio kila siku wataka ule nyama tu au sio lzm uchanganye misosi ukizoea menyu moja daily sio powa
 
Back
Top Bottom