KULE AMBAKO HASA MAELEZO HAYA YANAELEKEA
NI KWA MR X PAMOJA NA GARI AINA YA ALPHARD, IKIWA NI PAMOJA NA SESSIONS MBILI ZA MITIHANI YA WANAFUNZI WA NGAZI ZA JUU ZILIZOFANYIKA IDARANI KWA MHUSIKA WIKI ILIYOPITA
Wiki iliyopita kulifanyika tena sessions mbili za mitihani ya wanafunzi wa ngazi za juu idarani kwa mhusika; session ya kwanza ikiwa ni siku ya Alhamis, na nyingine wa pili siku ya Ijumaa
Ile session ya kwanza ya Alhamis ilikuwepo pia kwenye schedule iliyokuwa imetolewa na Taasisi kwa sessions zote za mitihani kwa mwezi huu wa Novemba
Mbali na hilo. session ile ya pili ya mtihani ilifanyika siku ya Ijumaa na ilibeba sifa kadhaa zifuatazo
SIFA ZA SESSION YA PILI YA MTIHANI WA IJUMAA
Mtihani huo:
Ulimhusisha mwanafunzi
foreigner kutoka nje ya Nchi, ndani ya Afrika ila nje ya Afrika Mashariki
- Haukuwepo na haupo kwenye ile orodha ya schedule ya mitihani ambayo ilikuwa tayari imeshatolewa na Taasisi kwa Mwezi huu wa Novemba
- Haukuwa na wawakilishi au mwakilishi yoyote kutoka nje ya Idara au ngazi ya Utawala, yaani kutoka Central Administration
- Ulikuwa na msimamizi aliyetoka nje ya Idara, ndani ya Taasisi
- Uikuwa na Examiner wa kawaida mmoja, aliyesemekana kutoka kwenye ile Idara nyingine, na huyu ndiye mhusika atakuja baadaye kumwongelea kidogo kuhusiana na swala la Amri 10 za Mungu
- Haukuwa na External Examiner (EE) isipokuwa mwakilishi wake tu na ambaye naye alitoka ndani ya Idara
Mwakilishi huyu wa EE (
mtihaniwa Ijumaa) na ambaye ni mwana Idara, ndiyo yule ambaye alikuwa pia EE kwenye
mtihani wa Alhamis, na pengine hii ndiyo kasoro pekee iiliyojitokeza kwenye mtihani huo ulioutangulia ule wa Ijumaa
SIFA ZA EE HUYU WA MITIHANI YOTE HII MIWILI ILIYOFANYIKA WIKI JANA
Ni mtaalamu wa matetemeko ya Ardhi, na ndiye mkuu wa kitengo hicho kwa sasa
- Ana shahada ya juu kabisa kwenye fani hii ya matetemeko ya Ardhi
- Ni mmoja kati ya wanafunzi wawili pekee waliowahi kuhitimu shahada hiyo; wakiwa chini ya SECTION anayofanyia kazi mhusika, huyu akiwa ni wa kwanza kuhitimu kabla ya yule wa pili
Kwenye ule
mtihani wa Septemba uliowahi kufanyika pasipo uwepo wa Mkuu wa Idara;
EE huyu ndiye aliyekuwa akikaimu Ukuu wa Idara hadi kufikia siku ya J4 ya tarehe 24/09/2024; ikiwa ni siku moja tu kabla ya mtihani uliokuja kufanyika baadaye kesho yake sikuya J5 ya tarehe 25/09/2024
- Mtihani huo wa Septemba ndiyo ule uliowahi kufanyika huku Idara ikiwa ina-hang hewani pasipo uwepo wa MWI
- Mojawapo ya majina ya EE huyu, linafanana na jina la Malaika aliyewahi kutumwa na Mungu kupelekea UJUMBE kwa Mariam kumjulisha kuwa atamzaa mtoto Yesu
Malaika huyu ndiyo yule ambaye huwa anahusika na kupeleka JUMBE kwa watu wa MUNGU, na ni wa pili katika ngazi za ukuu wa malaika;
wa kwanza akiwa ni Mikaeli
- Kwa hiyo UJUMBE wa malaika huyo ndiyo uliowahi kufanyika chanzo cha Agano Jipya la MMB
- Bila ya UJUMBE wa Malaika huyu, AGANO JIPYA LA MMB lisingewahi kuwepo
Zadi ni kuwa mtihani huo wa Ijumaa vile vile
Ulihudhuriwa na watu wawili ambao ilikuwa ni mara yao ya kwanza kuonekana kwenye sessions za kikazi au za kitaalauma za idara
Hawa walikuwa ni:
- Mwanafunzi mwingine ambaye naye pia ni foreigner, na ambaye kwa mara ya kwanza, aliwahi kuhudhuria kwenye kusanyiko la wanaidara lililohusisha chakula cha wanaidara kilichowahi kutolewa na Mkuu wa Major Unit (MMU) siku ya Ijumaa, takribani wiki tatu au nne zilizopita
- Mwingine wa pili alikuwa ni mtaalamu wa IT wa Idara ambaye yupo idarani kwa miaka isisypungua mine au mitano, na kwenye muda wote huo alikuwa hajawahi kuhuudhuria kusanyiko lolote lla wanaidara la kitaalumua isipokuwa makusanyiko yale ambayeo yamekuwa yakihusisha social events tu
Kwa watu nwatu hawa wawili, imekuwa ni mara yao ya kwanza kuhudhria session ya namna hii tangu wawepo idarani; na kwa sifa kama ambavyo zimeanishwa hapo juu
MFANANO KATI YA EE WAWILI WA MITIHANI HII, YAANI EE YULE WA MTIHANI WA SEPTEMBA NA HUYU WA MITIHANI MIWILI ILIYOFANYIKA WIKI JANA
Huyu EE-2 wa mtihani wa Septemba, alitoka nje ya Taasisi na pia nje ya Mkoa wa Dar es Salaam
Huyu naye pia vile vile
- Ni mtaalamu wa matetemeko ya Ardhi mwenye shahada ya juu kabisa kwenye fani hiyo
- Ni mmoja kati ya wanafunzi wawili pekee waliowahi kuhitimu shahada hiyo; wakiwa chini ya SECTION anayofanyia kazi mhusika, huyu akiwa ni wa pili kwenye mpangilio wa wahitimu wawili pekee wa kwenye section hiyo
- Jina lake la kwanza, linafanana na jina la Malaika aliyewahi kutumwa na Mungu kwenda kumsaidia Malaika Gabriel kupigana vita; baada ya Malaika Gabriel kuzuiliwa kupeleka majibu ya Maombi ya Daniel aliyokuwa amejibiwa na Mungu
Huyu ni MALAIKA WA VITA (
fita ni fita mura) na ndiye Malaika Mkuu
MMB kwenye kitabu cha Daniel 10: 12-13 yanasema
“……..12 Ndipo akaendelea kusema, “Danieli, usiogope. Tangu siku ya kwanza ulipotia moyo wako ili kupata ufahamu na kujinyenyekeza mbele ya Mungu wako, maneno yako yalisikiwa, nami nimekuja ili kujibu maneno yako. 13 Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga kwa siku ishirini na moja. Ndipo MIKAELI, mmoja wa malaika wakuu, alikuja kunisaidia, kwa sababu nilikuwa nimezuiliwa huko na mfalme wa Uajemi……”
UTOFAUTI WA MUHIMU NA WA PEKEE ULIOJITOKEZA KWENYE MITIHANI HII MIWILI
Kwenye
mtihani wa Alhamis; watu (public) waliingia ukumbini na baada ya kuingia, mtihani uliendelea
Kwenye
mtihani wa Ijumaa, watu (public) waliingia ukumbini kwanza halafu baadaye msimamizi wa mtihani ALIWAAMURU
public wote watoke
(KUTOKA) nje na baada ya kuwa zimepita dakika kadhaa, waliruhusiwa kuingia tena, mhusika akiwa mmoja wao
KUTOKA ni JINA la mojawapo ya vitabu vilivyopo kwenye MMB, na ndiyo kile kinachoongelea
AMRI 10 ZA MUNGU
Mbali na hayo, TITLEYA ANDIKO LA UTAFITI wa mwanafunzi mtahiniwa wa siku ya Ijumaa, ilikuwa inaanza na maneno ya kitaalamu yanasomema
“PETROGENENESIS”
GENENESIS au MWANZO, ni jina la Kitabu cha kwanza kabisa cha MMB na ndiyo kile kinachoongelea UUMBAJI wa mwanadamu, viumbe vingine, MBINGU NA ARDHI, n.k.
SIKU YA KWANZA YA MTIHANI WA KWANZA, YAANI ALHANMIS:
ASUBUHI WAKATI MHUSIKA ANATOKA NYUMBANI KUELEKEA OFISINI, WALIPISHANA NA MR X
Alhamisi hiyo, mhusika alipishana na MR X
kwenye lile tuta la pili jipya la bararabani, lililowahi kujengwa mwanzoni mwa Apriol 2024
- Mhusika na MR X walikatiza tuta hilo kwa pamoja, huku wakiwa wapo kwenye uelekeo tofauti
- Ilikuwa ni mara ya kwanza kwa MR X na mhusika, kukutana njiani kwenye sehemu kama hiyo, ukiondoa siku ya hivi karibuni ambayo waliwahi kupishana kwenye junction iliyopo ndani ya maeneo ya Taasisi
WAKATI WANAPISHANA, MR X ALIKUWA ANA-OPERATE KWENYE LEVEL YA ALPHA, YAANI MUNGU
Mhusika na MR X walipisaha hapo huku MR X akiwa ana-operate kwa kutumia CODE YA ALPHARD, na ilikuwa ni muda mfupi tu kabla ya mhusika kuingia kwenye session ya mtihani wa Alhamis, mtihani ambao MR X hakuhudhuria
Baada ya mhusika kuwasili ofisini, kabla hajaingia kwenye mtihani siku hiyo, pale nje alikutana na wajina wa YESU au EMMANUELI, na baada ya hapo ndiyo aliingia ndani ya ukumbi
- Kwa hiyo kabla hajaingia kwenye mtihani siku ya Alhamis, mhusika alikutana kwanza na ALPHA na baadaye tena ALPHA alifuatiwa na wajina wa YESU
- Baada ya mitihani hiyo miwili ya siku za Alhmais na Ijumaa kuwa imepita, hadi kufikia juzi JUMAMOSI ya tarehe 16/11/2024; mhusika alibaini kuwa ALIKUWA AMESHAFUTA KILA KITU KUPITIA SESSION HIZO MBILI, NA ALIKUWA HAWEZI TENA HATA KUPATA USINGIZI USIKU
Kwa hiyo MR X alimu-intercept tena mhusika siku ya Alhamis, mhusika alipokuwa anaelekea ofisini ambako sessions za mitihani zilianza kufanyika siku hiyo
DOKEZO MUHIMU KUHUSIANA NA MATETEMEKO/MAPOROMOKO YA ARDHI
JUNE 2012 LILIWAHI KUTOKEA TETEMEKO KUBWA LA ARDHI,AMBAPO MAJENGO MAREFU YA JIJINI DAR ES SALAAM YALIWAHI KUYUMBA ILA HAKUNA JENGO LILILOWAHI KUPOROMOKA
Mnamo June 2012, kuna tetemeko la kubwa la Ardhi lliliowahikutokea na kusababisha taharuki kubwa kwa watu waliokuwa wapo ofisini kwenye majengo marefu jinini Dar es salaam,
ila hakuna jengo lililowahi kuporomoka kupitia tetemeko hilo
Kwa hiyo kwenye scenario hii iliyowahi kuhusisha tetemeko kubwa la Ardhi, hakuna jengo lililowahi kuporormoka jijini Dar es Salaam
TUKIRUDI TENA KULE KANISANI: WAUMINI WATATU WALIOPANDISHWA JUU MADHABAHUN JANA J2 YA TAREHE 17/07/2024
Waumini hao walipandishwa juu ikiwa ni maandalizi yaliyo sawa na kile kilichowahi kufanyika mwanzoni mwa April na kilichohusiana na hafla sawa na hii ya sasa
Kwa hafla ile ya mwanzo mwezi April; waumini wawili waliowahi kupotelewa na damu za ndugu zao, ndiyo wale waliokuwa wakisimama Madhabahuni kutoa matangazo ya SIKU YA KIONGOZI yaani KM-A
Kwa kipindi hiki vile vile., waumini waliotambulishwa jana kuwa ndiyo wale watakaohusika na SIKU YA KIONGOZI, yaani KM-A, angalau mmoja wao atakuwa ana uhusiano na DAMU, ila kwa namna nyingine tofauti na ile ya wahusika wa mwezi April
Sasa hapa swali linakuja: HIYO DAMU ITAKUWA IMEMWAGIKA LINI?
Kwa hiyo inaonyesha dhahili kabisa kuwa,
matangazo yanayohusiana na SIKU YA KIONGOZI wa Kanisa A huwa ni lazima yahusishe mtu aliye na uhusiano na DAMU
Kwa safari hii,mwenye uhusiano na DAMU anaweza asihusike yeye moja kwa moja matangazo hayo, isipokuwa wale walio na uhusiano naye; au wale aliowahi kupandisha nao juu madhabahuni
Kwa hiyo KWA SASA, mmojawapo wa watu waliopandisha Madhabahuni J2 iliyopita,
tayari ana uhusiano na DAMU, na tayari damu hiyo ameshai-
link na wenzake aliosimama pamoja nao pale juu madhabahuni jana J2
Kuongezea zaidi kwenye maelezo haya, maelezo mengine yanakuja kupitia uchambuzi wa AMRI KUMI ZA MUNGU
………..inaendelea; KWM, AMRI 10 ZA MUNGU NA MAPOROMOKO YA ARDHI