Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Kwanza kabisa namshukuru Mungu hapa nilipofika. Ila nimepitia majanga hatari sana na yote yalijiri wakati nataka kuoa.
Nikipata Binti fulan ambaye alipata ujauzito na ilipita kama miezi miwili hv. Nilikuja kushangaa aliponiambia alikua akipata hedhi while ana mimba.
Hilo liliambatana na homa Kali sana visirani na vituko kibao. Nilichofanya nilimpeleka kanisani. Baada ya maombi Ile hali ilitulia.
Kasheshe ni baada ya kujifungua.siku moja Niko na mtoto ndani ghafla niliona nyuki wamevamia chumbani mwangu nikiwa na mtoto kwenye net.Sikua na la kufanya zaidi ya kusali.
Nilipomaliza nikaanza kumuita mama yake lakn hakua akisikia napo hakua mbali hata kidogo. Baada ya muda mfupi,nyuki waliondoka wote. Hapohapo mama ya mtoto ghafla akaingia ndani na nikamhadithia kisa hakuamini. Nilipoangalia chini nikaona nyuki mmoja amekufa nikamuonyesha hapo hapo ndo akaamini.
Kesho yake mama mtu alipoamka akafua nguo zake na za mtoto na mdogo wake alieyekuja kumsalimia siku hio. Cha kushangaza kitambaa Cha mdogo wake kikapotea. Uzuri siku hio mchungaji wa mke wang alikuja kututembelea tukamueleza yote akasema tuko kwenye vita ikabd tuanze maombi. The rest ni kwamba nilihama hapo(palikua ni sehemu nilipojenga kabisa ni eneo langu) nikahamia sehem nyingine kupanga ambapo angalau nimetulia.
Naposisitiza watu kusali na kuboresha hali zao za kiroho namaanisha mana yalinikuta mazito. Hapo nimefupisha tu. Nishapitia kipindi ambacho hakuna hata aliekua anataka kuongea na Mimi. Yani nachukiwa tu bila sababu. Mara naitwa mchawi, madili sipati Yani tafrani. Sikuenda sehemu yenye miujiza. Niliamua kumuomba Mungu na alifungua njia zangu. Nawasiliaha kwa wadau