Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

Hilo ni kosa lako

Such bombastic claims na hujashtuka?
 
Chai kama Chai mwanzo ulikua ukimpatia lift kuelekea Posta alaf baadaye akawa mama wa nyumban hatoki ss iyo lift ulikua unampia wapi ?
 
Duh mkuu ndiyo udanganywe kuwa kaenda Canada kusoma hata using'amue whasapp anatumia code number gani? Ama kweli urozi uko duniani.
Kuhusu WhatsApp number wala sio tatizo nina watu wanatumia WhatsApp namba za UK, Amerika na Asia lakini wapo hapa mjini ni vile waliishi abroad, hiyo ni kawaida isipokuwa jamaa alikolea uenda alioa mapema sana sasa zile kashkash za mabinti wa mjini hakuwahi kukutana nao ndio maana kala za uso.
 
Nashukuru kwa wote mlionipatia pole, wengine matusi wengine uandishi mbovu wengine fala, wengine boya wengine nikome uzinzi n.k. La muhimu ni kuwatahadhalisha wengine ndugu,jirani,rafiki n.k wasije wakawa zoba Kama Mimi nilivyofanywa kwa muda wote huo. Pia kwa Sasa ndio naona mapambazuko nami hadi nashangaa kwa kutojielewa muda wote huo ulozi ulihusika kwa asilimia zote. Wakuu Mungu awabariki wote na usiku huu uwe mwema. Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza Amina.
 
Kuna mwana mkewe alikua anamuaga anaenda kazini town kumbe anaenda kwa bwana mara nalala kazini mara ntachelewa kurudi kumbe mwana ana hamsha chombo ila ndo hivo za mwizi ni 40 tu
 
Kuna mwana mkewe alikua anamuaga anaenda kazini town kumbe anaenda kwa bwana mara nalala kazini mara ntachelewa kurudi kumbe mwana ana hamsha chombo ila ndo hivo za mwizi ni 40 tu
 
mtoto miaka 13πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† kweli gunia siku ya mnada ni dawa tosha ya kuuza bidhaa zote
 
Na huu uzi uwe fundisho pia kwa wanaume wanaoendekeza michepuko
Mpigwe matukio zaidi na zaidi.
Kwani wewe mkuu siyo mchepuko wa mtu na haujawahi kuchepuka tangia kuzaliwa kwako?

Maana waswahili wengi hukashifu na kukaripia tabia za matendo wanayoyafanya wenyewe.
 
Kuna mwana mkewe alikua anamuaga anaenda kazini town kumbe anaenda kwa bwana mara nalala kazini mara ntachelewa kurudi kumbe mwana ana hamsha chombo ila ndo hivo za mwizi ni 40 tu
Mkuu si ungeandika parefu?

Maana inaonekana ni kituko kitamu sana ukikisimulia mkasa wake mzima!
 
Pole sana mwamba
Ukiona mwanaume mwenzako yamemkuta basi hata wewe na mimi yanaweza pia. Kikubwa Mungu ni mwema
 
Ila nimepenta alivyokufanya yani kakukomesha umalaya tu ingawaje na yeye ni mjinga kakuvulia chupi ila ndo hivyo tena haina alama.Haya ukae kwa kutulia sasa na kingine hii inshu mshirikishe mkeo atakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…