Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

Hujakutana na vitasa. Wanaume wenzio wanaliaga. Omba Mungu akuepushe na uishi katika misingo inayofaa ili kikombe kikuepuke. Usiombe
Ukiwa mtu wa kula kimasihara sizani kama hayo yatakukuta , sjawahi tongoza mwanamke mara nyingi ninakula mbususu ninapo wapa ushauri kuhusu mambo yao kwenye ndoa zao , na wengne kuwasidilia ata kimawazo tu wanapokuwa na shda , wanawake wengi sna ni rafiki zangu najikutaga tu humo humo najilia mbususu , napigwaje tukio apo?
 
Basi subiri gono. Goodluck
 
Kwani wewe mkuu siyo mchepuko wa mtu na haujawahi kuchepuka tangia kuzaliwa kwako?

Maana waswahili wengi hukashifu na kukaripia tabia za matendo wanayoyafanya wenyewe.
Aikua adithi ndefu maana imekuja kujulikana baada ya sim ya mwanamke kuhalibika na kuipeleka kwa fundi sasa mwanamke akasahau kutoa laini jamaa kaichukua laini aweke kwenye sim yake ili watu watakaokua wanamtafuta mkewe iwe laisi kumpata uku amfanyie mchakato wa simu nyengine...msg alizozikuta humo ni balaa yani kila kitu kimejulikana na jamaa akaunganisha doti zile safari alizokua anaaga kumbe ni kwa mume mwenzake.
 
Kwahiyo ulianza kudanganywa tangu mimba?miaka 3 eti hujawahi hata kumuona mtoto na unatoa huduma...Hii ni Chai au wewe ni fala
 
Hata sijamaliza kusoma istoshe tu kukuita wewe ni ZEZETA MTOZENI unastahili kua ni PHALLER la karne..
 
Haya ndiyo yanafanya vijana wa leo wa Das'lam hata sisi wazamani tudharirike .

Sasa na wewe mwanakwetu kweli miaka yote hukuwahi kumuona mtoto na hela unatuma ? Hapana wewe ni wa kuja bana sio wa dar
 
Ila na wewe nae? Umezubaa Sana mjini huko....bado mshamba kwa kiasi kikubwa
 
Kifupi huyo mwanamke sio mjanja ni boya ulimbo kama huo wanaume kama mm hunidaki. Kifupi wewe ni boya mkuu. Na kwa akili zako nikuambie tu kuwa wewe bado hujafikia uwezo wa kumiliki michepuko unaakili ndogo sana ....baki na mkeo
 
Pole ila kama ni kweli we ni boya pro max
 
Wale matapeli wa njia za mtandao wanaweza kupatikana kwa njia hizo hizo ?
 
Faida ya uzinzi ni hiyo na bado endeleeni tu usipotubu hata mbingu hakuna
 
Kuuziwa mbuzi kwenye gunia ndiyo hii
 
Mkuu ulikuwa fala sana (samahani sina neo lingine la kukuelezea) unalea mtoto hata hujamwona na mko wote Tanzania hapa hapa.
Kalogwa huyo maana mwanamke anahusudu sana waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…