Mkasa wa kweli: Nilifanywa boya kwa zaidi ya miaka kumi na mitatu akidai ana mtoto wangu

Huyo mwanamke kashirikiana na mume wake kukutapeli
 
Dj tunaomba wimbo wa kumsindikiza kaka yetu aliyepigwa na kitu kizito wakati anaelekea anapopaswa kukaa
 
Labda ulirogwa ndugu! Miaka 13?!😳 yaani miaka 13 hujaona mtoto wako?! MIAKA 13?!!
Anyway, mi nilishawahi kufanywa fala nikalea mimba hewa miezi 5. Nikasanuliwa na msamalia mwema.
 

Ndiyo ulikuja kujua mke kamili ni huyo uliyefunga naye ndoa hapo home.

Wanawake wote wasio wa ndoa wako hivyo hivy😵eni jmani mtulie na familia zenu.

Yaani wewe unayedhani unapendwa na mchepuko unajidanganya.Huyo anapenda fedha zako.kama unadhani nadanganya mwambie tu umefukuzwa kazi,huna pa kuanzia.uone majibu yake.

Halafu sijui ni nini kina kamataga akili za wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…