Mkasa wa mapenzi: Mwendelezo

Mkasa wa mapenzi: Mwendelezo

Kipepeo wa chuma1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2021
Posts
387
Reaction score
557
Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika.

Siku nafika jamaa (mume wetu)alikuwa nyumbani kwa bi mkubwa,Ila alijua Niko njiani na hata nilipofika nilimtaarifu tukazungumza,tukakubaliana tuonane siku inayofuata.

Kesho yake nikaamka na ratiba nikaingia mjini kukamilisha ratiba.Akanipigia saa 6 mchana nikamwambia nilipo akanifata.Akanisubiri nikakamilisha
mizunguko yangu.Kwenye saa 10 tukaondoka tukatafuta lodge moja tukaagiza msosi na vinywaji tukajichimbia.Hakurudi kwake siku hiyo.

Kesho yake tukaamka tukapata kifungua kunywa,then nikawa na ratiba afu ilikuwa jumamosi,akanambia nakupeleka Kweli tukaenda,tukarudi jioni ,nikamwambia so Rudi kwako tuonane kesho, akanambia hapana wikendi hii nikikuacha watakuja wakupeleke club,so tupumzike au twende club,tukaenda club,tukaruka majoka na kurudi alfaji.Tumeamka saa 5 asubuhi tukaoga tukapata supu tukarudi kulala Hadi jioni.Mind hapo Ana siku mbili hajarudi kwake.

Jioni tukatoka tukakaa bustanini hapo lodge tukipiga soga na kunywa mbili tatu.Nikamwambia babe Rudi home akanambia hapana tukaondoka wote.Kifupisha story yule mkewe aliniendea sehemu kuniharibia kwa mumewe anichukie na kuniharibia Mimi Kama Mimi,sema mie Nina mzee wangu mtaalamu alikuwa anaona kila kitu akawa ananambia afu tunapangua.

Si kila mwanamke ana lengo la kuharibu ndoa ya mtu, mapenz yanatokea na wengine tumeridhia kuwa wake wadogo bila kelele Wala vurugu🙅kistaarabu tu.Naheshimu ndoa yenu Ila nami nimependwa ,nimependa na nimeridhia kuwa bi mdogo ukizingatia jamaa ni Moslem na ameridhia kuongeza mke.

Pitia Uzi huu kwa rejea:
 
Nyie wa nitaendelea


Mpeleke Jf story sio huku.
 
Bi mdogo kumbe una mtaalamu, ndio maana haiwezekani.....weeeeee!!!!.
Na mume umemfanyia maflekechee???
Dinazarde witnessj ombeni namba ya mtaalamu
Maninaa wallah[emoji16][emoji1787]

Kumbe kamfanyia mafokonyokoo huyo mwanaume

Catherine alikwama wapi asee[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani alishaleta mrejesho wa mzazi mwenzie au ni matangazo ya mtaalam wake tu apate wateja
Bado hajaleta, bado huko katavi mambo yanaendelea kupikwa.....i guess yatakua yashaanza kuiva, tuwe wavumilivu wapenzi watazamaji
 
Bado hajaleta, bado huko katavi mambo yanaendelea kupikwa.....i guess yatakua yashaanza kuiva, tuwe wavumilivu wapenzi watazamaji
Khaaaa watu wana imani.....ila ninavyoona binti aliforce mapenzi, mtoto alimtaka mwenyewe, alitumia msaada wake kama njia ya yeye kupendwa ni stress alizonazo Mungu amsamehe tu
 
Back
Top Bottom