Mkasa wa Mobutu Seseseko na Timu ya Taifa ya Zaire Kombe la Dunia mwaka 1974

Kwamba walienda jeshini kwanza [emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona huko walichezea bakola za kutosha kwa nn wamefungwa goli nyingi sana.Vip kuhusu waganga wao hawakupewa adhabu
 
Leo wametunyoosha
 
Alipofariki mwaka 1998 huko nchini Morocco alikokuwa amekimbilia, alizikwa dakika 7 kwa kutumia Excavator na watu 6 tu tena ndugu wa karibu ndio waliohudhuria maziko hayo ya kihistoria.
But dictatorial habits die hard.
 
Kumbe ndiyo maana DRC imetupatia wachezaji wengi wa kutegemewa katika ligi yetu!
 
Nasubiria tuu hapa kusikia wachezaji wamegoma kicheza kisa hawajalipwa bonus zao....africa the same perennial problems. Admistration ipo kujitanirisha wao na sio kiwawezesha wachezaji.
 
Nape Nda Sana documentary za hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…