Mkasa wangu kama 'Stepfather' baada ya kuwa na Single mother

Wewe ni mkurya? Kitu kidogo visu nje nje.

Anyways unajua kuandika, hiko ni kipaji chako kingine ukikifanyia kazi.
Acha mchezo hio inaumaa ila sasa , mkuu mimi expert hakuna sketi inatingisha seli za ubongo wangu
Lakin ulitombewa huku nawe unaona

Wewe 0-yeye2 IMEANZA mech ukiwa UMEFUNGWA gol 2

Kijana mbich umejiingiza kwa jimama lenye watoto 2
Acha kuhukumu mkuu hayo mambo ni kama mvua za kiangazi hayaelewekagi kwa vijana wadogo ,unanaswa chap na kuwa darasa la wengine kama hivi
 
Wewe ni mkurya? Kitu kidogo visu nje nje.

Anyways unajua kuandika, hiko ni kipaji chako kingine ukikifanyia kazi.
Acha mchezo hio inaumaa ila sasa , mkuu mimi expert hakuna sketi inatingisha seli za ubongo wangu
 
Mkasa mzuri.. lakini sasa maoni huja mkasa mzima ukishakamilika
 
Sijasoma ulicho andika nimejifunza


Baba angu Ali mchukua mtoto wa kaka yake..

Akamlea kwetu, akamsomesha wakawa ma best , mpaka mzee ana staafu KAZI engineer

Mzee kaanza kuugua hakuja hata msibani, aisee zaa mtoto wako wapende wafanye wawe wa maana hivyo mwenyewe achana na DAMU za watu wengine
 
Umezingua mno eti unaangalia dirishani jamaa anapakua mzigo, adhabu ulioona inamfaa ni kumfungia ndani kwa kufuli akae na wanae 🤣 pia jamaa zako ma snitch sana wakakimbia wasipate kesi 🤣🤣 Wenda ni chai.

kama hujapata mtoto nae tokea jamaa anakuja mara ya kwanza ilikua ni red card kwa huyo jimama kama unavomuita. Tena unalipia Kodi 🤕
 
Huyu jamaa ni jinga sana aliyezaa na mtu siyo wako
Hata akijitetea vip kula sepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…