Mkasa wangu na dereva wa Bolt

Mkasa wangu na dereva wa Bolt

Shining Light

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2024
Posts
406
Reaction score
523
Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber?

Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea Temeke.

Tufika njia panda ya Morocco na alinuliza tunapita njia gani, nikasema napendelea ya magomeni. Akasema tunapita ya mjini na nilikataa kisha akasema huwezi mpangia dereva barabara ya kupita, akasema ananishusha

Nilimwambia nirudishe ulipo nitoa, ila nilikuwa ninahofu kubwa sana kwa sababu angeweza nifanya lolote kama kunipitisha njia nisiyo taka.

Alinishusha palm village nikarequest tena na kuelekea katika harakati zangu, Je wewe ni Mikasa gani imeshawahi kukutokea wakati unatumia usafir wa mtandaoni?
 
Dawa ya madereva ni watoto wa JW waliotoka depo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
wengi wanao request ni masikini ndo maana migogoro na madereva haiishi
 
Matumizi mabaya ya neno "mkasa".Hakuna mkasa wowote hapa zaidi ya abiria kukosa ustaarabu wa kawaida kabisa
 
Umepata Changamoto gani wakati umetumia usafiri wa Bolt, Farasi au Uber?

Juzi kati hivi niljikuta katika migogoro moja na dereva wa bolt, Nilipanda bajaji kutoka palm village nikiwa naelekea Temeke.

Tufika njia panda ya Morocco na alinuliza tunapita njia gani, nikasema napendelea ya magomeni. Akasema tunapita ya mjini na nilikataa kisha akasema huwezi mpangia dereva barabara ya kupita, akasema ananishusha

Nilimwambia nirudishe ulipo nitoa, ila nilikuwa ninahofu kubwa sana kwa sababu angeweza nifanya lolote kama kunipitisha njia nisiyo taka.

Alinishusha palm village nikarequest tena na kuelekea katika harakati zangu, Je wewe ni Mikasa gani imeshawahi kukutokea wakati unatumia usafir wa mtandaoni?

Huu sio mkasa, ni kituko
 
Back
Top Bottom