Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Naanza kuona ukweli kuwa haya ni maigizo
Mimi ni mzaliwa,mkazi na mwenye wa Arusha,,naishi Sakina aliposema Leadmore ndo kwake toka hizi taarifa za msiba zitoke nimejaribu fatilia kutokana na Aina ya Maisha alokuwa anatuambia Lazima ingesikika tu sijaona popote wala kusikia Msiba wowote ulohusisha Mke na Mume,,nimefatilia kwa Rafiki zangu ambao ni wadau wa sekta ya utalii nawauliza kama kuna taarifa za aina hiyo na wanadai wana ofsi njiro hakuna hii habari,,Kampuni za njiro hakuna iliyofiwa na mmiliki na mke,,na mmoja alinambia huo ni uzushi ingetokea Lazima ingepakaa mji mzima kwa sababu wadau wa utalii(wamiliki kampuni) wanajuana wotee na kingine ukiwaza ni nini kinaweza fanya Msiba ufanywe siri??sawa labda tuseme watoto wanafanya Siri sababu wameishi ulaya wana tamaduni zao je na hawa mashemeji wa marehemu(wadogo wa mke wa marehemu) waishio Arusha nao wafanye Siri pia??kaka yake aishie dar pia nae afanye Siri???

22/05 kuna Mazishi yalifanyika sema ni nje ya Mji wa Arusha ambayo hayo yalitikisha kwa kuhudhuriwa na wadau wengi mno toka ndani na nje ya Nchi,,Msafara wa magari yalikuwa magari mengi ya kifahari mnoo,,,nilivoona ule msafara nikahisi labda ndo huyu wa Jf ila kufatilia kumbe Alifariki Mke Wa Kigogo Mmoja mwenye pesa mingi sana na watoto wake wanaishi nje ya nchi....ule msafara uliacha Gumzo Arusha na vitongoji ulivopita



Kwa Ufupi hakuna Mtu/watu wanaomiliki kampuni ya utalii walopoteza maisha na hapakuwa na msiba wowote Sakina hii tunayoishi.....


CASE CLOSED
 
Inawezekana ndio wenyewe maybe Rose alianza kuzikwa coz story si ina code mkuu! au ulitaka aweke kila kitu hadharani
 
Mr Devil anasema msiba ulikuwa Njiro na ulikuwa very private only invited people wazungu nilimfata inbox, so iwe kweli maagizo haijalishi ukweli ni Ali exit kwenye maisha haya na hakuna mwenye ushuhuda zaidi ya wao ni wao alipata kuniambia kabla ana foundation yake ya watoto wenye kuishi navirusi vya ukimwi alitoa msaada wa pesa ndefu sana, Gily alishapewa kazi na marehemu Arusha ila alikataa sababu Dar ana mishe zake hawezi kuacha hata mke we wakati wa kujifungua alitaka kumlipia Gily aligoma na hata wakati leader kalazwa Aga Khan alishamuomba aende akamuone ila Gily hakwenda na wengine wapo kibao ambao hawawezi kutoa shuhuda zao so kila mmoja aamini analo ona kwake ni sawa kwa upande wangu amekufa family wameamua wazike kivyao basi muhimu kapumzishwa salama.kingine pole kwa kujipa kazi yote ya kufatilia aisee kuna watu mnajiweza 😁
 
Story ya jamaa humu ilitugusa na kututeka wengi kusikia Kafa na msiba upo mtaa unaoishi ingekuwa ajabu kama usingefatilia kujua ABCD ili mshiriki Pamojaa,,,hata familia ingefanya Usiri watu wasihudhurie wengi bado ingejulikana tu kwa Aina ya Mali alizokuwa anamiliki hata wafanyakazi wake wangeropoka tuu

Jiografia Ya Arusha sio ya kihivyo itokee jambo eti ilikuwa siri walihudhuria wazungu tu na Msiba ni MR&MRS,,,hakuna hiyo Siri
 
Hata sisi pia tunatamani iwe uongo mkuu😥😥
 
Msiba wa huyo mama ndo yule mumewe kutokana na shock ya msiba wa mkewe akazidiwa na kukimbizwa Nairobi kwa matibabu akiwa ICU?

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Basi kama ni uongo , story ilishatufunza mengi leadermoe kama upo hai ishi sana, hata kama una ID nyingine .

Kama umekwishafariki RIP,

NA kama ni movie tunaelewa mhusika mkuu akifariki na movie inaisha .
Umenifanya nicheke 😁Case Closed 😁Dismiss Case
 
Hii kitu hata mm nimejaribu kufuatilia lkn sijapata majibu, sababu alisema ana kampuni ya utalii nimejaribu kuulizia kwa washkaji na wanaojishughulisha na hizo mambo lakn hawamfahamu
 
Kwanza mimi kama mimi nipo Arusha na minaishi maeneo ya Sakina,lengo la kufuatilia nilitaka nihudhurie msibani lkn imekua hola, kama waliamua kufanya private sawa ila ingejulikana mmiliki wa kampuni x amefariki pamoja na mkewe
 
Kwanza mimi kama mimi nipo Arusha na minaishi maeneo ya Sakina,lengo la kufuatilia nilitaka nihudhurie msibani lkn imekua hola, kama waliamua kufanya private sawa ila ingejulikana mmiliki wa kampuni x amefariki pamoja na mkewe
Hawa kenge wamefanya maigizoo

Pimbi kabisaa
 
Najiuliza ikawaje mtu wa 1963 akapata kazi na kulea mtu wa 1974.

Najiuliza tu si lazima nijibiwe
 
😂😂Umetisha sana Mangi,..
Kwaiyo ulikua ukipiga vyombo kinakuchomoka hatar😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…