Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

Cousin mwanzo wa story ulikua bonge Moja la mlokolee Mwisho wa story sasaa 🤔🤔🤔🤔🤔!!
Hatareee nanusuuuu!! Hakika umezila internationally Mbususu zakutoshaaa!!
Big up cuzoo akee umeliwakilisha taifa vema kabesaaa!! ✌️
 
CK Allan Analyse Half american Watu8 Dr Restart baby zu Depal Antonnia Kalpana Lovelovie Glenn Mamaya Binadamu Mtakatifu Darlin Lloyd Munroe mshamba_hachekwi moneytalk Dahan Johnnie WalkerA@Leejay49 Amehlo Palina am 4 real
Shunie Numbisa Bantu Lady charlote Kalpana Luv masai dada Tayukwa Kelsea Antennah Cee Litro wao ni wao Dejane Synod
 
🤣🤣🤣🤣!!

Kawaida sanaa hioo huo ndio uanaumee sasa sio mwanaume unakua mzeembeeeee!!
Kulaa Mbususu zakutoshaaa kwaraha zakoo cousin maisha ndio hayahayaaa!😊🤭
Sahamani kwanza, umepata mwaliko wowote? Sio kwa fujo hizi aisee😂😂😂😂
 
"Kutokama na vimazoe na mitego ya muda mrefu, nikampenda kweli huyu binti, hakuna majaribio katika kupenda, ukiuzoesha moyo utapenda tu."


Weee kumbe tusipochoka kuwatega mnaingia linee auweeehhh!!😊!
 
Umetisha sana binamu


Mtuno wa zip tunapima kujua ukubwa wa mua[emoji56]
Tunaangaliaga vingi hadi kidole cha kati tujue kabisa kabla hatujajichanganya



Kwenye perfume umenikosha sana udugu...mambo yangu hayo [emoji846][emoji846]
 
"Nilifanikiwa kumaliza miezi saba, bila kuingia mtegoni mwake, akanza ku lose confidence kwangu, nikaanza mtesa kihisia. Siku moja Ijumaa, akaniomba kama sitasafiri, anipe lunch, tupate na muda wa kufahamiana. Nikakubali, tukakutana Jumamosi."


Ila hata kama ni hisia mwanamke kumuanza mwanaume binafsi naona haikuji haipendezi kabesssa... kabesaaa yanii kwanza atakunyanyasaaa kisisia mpaka ukomee

Raha ya mapenzi mwanaume akuanzee buanaa akupende yeyeee akutongozee yeyee umsumbueeee ucheze na hisiaa zakee kwanzaaa hadii akili imkae sawaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…