Mkasi tv v?s wanawake live

Jewel

Senior Member
Joined
May 1, 2008
Posts
180
Reaction score
65
Hallow joyce kokote ulipo na salama jabir popote ulipo naomba wiki itakayo anza 11 bi salama umualike joyce kiri pia nawe joyce mualike salama jabir kiatika kipindi chako cha wanawake live maana nyie mtahojiwa lini ? Basi muhojiane
nawakilisha nadhanai itapendeza saaaaaaaaaaaaaana
 
Itakuwa poa sana hasa salama akimuhoji Joyce kiria
 
Nilitaka ku'share hapa bt nimepastukia mapema.
Naona pamekaa Ki'Beijing zaidi, yaani Ki 'Tamwa-Tamwa!
Nahisi Annanilea Nkya panamhusu zaidi.
 
me ningependa joyce amhoji salama, it could b fantastic, plz, embu fanyeni mchakato iyo kipindi ifanyike,,...wadau tunasubiri
 
Sawa labda wataipata, na karibu sana jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…