Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha.
Nyie ambao mnatia aibu hebu nendeni mkatafute hivyo vitabu viwatoe tongotongo.
Ni aibu sana msomi kuandika embu , ote, chakura, kurara, kalanga, chula, asa ivi , iki, hita, golofa, gorofa, maafali, mahali(bride price), mahari (location),mwariko, lisala.
Usione aibu kwakuwa una shahada kichwani. Kajifunze.
Mke wangu wa darasa la saba kawazidi wasomi kwenye uandishi.