Mkata umeme wa Goba ni katili, anatutesa mno

Mkata umeme wa Goba ni katili, anatutesa mno

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
593
Reaction score
2,219
Kwenye hili swala la umeme ni kweli serikali tunajua wameshindwa na tiba yake sio ya leo wala kesho.

Tumekubali mgao wa umeme sababu ndo hali halisi kuwa serikali ya sasa imeshindwa.

Sasa hapo kwenye mgao kuna mitaa inaonewa sana kwa mfano goba asee huu mtaa wanakata umeme kila siku saa moja hadi saa saba usiku.

Hivi goba huku tunakaa washua kina bashe kina kibatala makatibu na mimi boss ashampoo kwanini msikate mbagala kila siku mnatuonea tafuteni mtaa choka choka muwape hii adhabu ya kukutaaa umeme basi muwakatie mazenze au hata mkate hata mburahati basi muwakatie buguruni sisi goba adhabu imetosha. Tafuteni mitaa hadhi ya kukatiwa umeme ovyo goba tunakaa watu wa maana sana.

Asee bashe hebu waambie bwana.

Hivi hapa naongea nipo bar nachaji simu afu watu wa mbagala wanakula keki taifa kweli goba tunateswa kuliko watu wa mwananyamala.

Kweli vingunguti mabandani wanapata raha kuliko Goba ushuani.

Basi kateni gongolamboto tu hao wamezoea shida wamekomaa.

Goba sisi ushuani hatuwezi shida ya joto.
 
Nchi ngumuu hii,zereeu zimezidi.Niliko wanakaba kama ameachwa mtoto wa chekechea....yaani ndani ya dk 5 unakata unarudi hata mara 7. Nitukana moyoni mpaka tosha!Yatapiita.
 
Dah bora huyo wa Goba, huyu wa Mkuyuni atakuwa ndugu yake Hitler.
 
Nyie mna uwezo wa kununua majenereta na kufunga solar wao hawana uwezo huo. pia nyumba zenu zina ma AC, Majiko ya Umeme na watoto wenu wanashinda kwenye katuni kwa hiyo mnakula umeme mwingi sana lazima mkatiwe zaidi
 
Back
Top Bottom