Mkataba feki vs Mkataba sahihi

Mkataba feki vs Mkataba sahihi

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Posts
2,097
Reaction score
1,457
Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba asali, Ana Makinda, PIUS Msekwa ??? Kama mmmebugi mnyamaze , Tanzania tunapungukiwa viongozi bora, na ili uonekane mzalendo utete uozo unaotendwa na viongozi wa Serikali, mtaumbuka!!!!

Nani mjinga Kati ya hawa;

A: Wanaopinga mkataba
1. Profesa Anne Tibaijuka (Waziri Mstaafu, Mkurugenzi wa zamani UN Habitat, Mhadhiri mstaafu vyuo vikuu mbalimbali)
2. Profesa Issa Shivji (Nguli wa Sheria, Mwanamajumui wa Afrika, Mwanazuoni)
3. Tundu Lissu (Wakili Msomi, Mwanasiasa hodari, Rais mstaafu wa TLS)
4. Dr.Rugemezela Nshala (Wakili Msomi, Rais Mstaafu wa TLS, Mwalimu wa Law School aliyemfundisha Tulia Akson)
5. Dr.Charles Kitima (Katibu mkuu TEC, Mwanazuoni hodari, VC mstaafu Chuo kikuu SAUT)
6. Dr.Fredrick Shoo (Mkuu wa KKKT, Mhadhiri mstaafu vyuo vikuu mbalimbali, Mwanazuoni)
7. Sheikh Abubakar Zubeir (Sheikh Mkuu Tanzania, Mwanazuoni)
8. Freeman Mbowe (Mwanasiasa mbobevu, Mwenyekiti Chadema)
9. Jaji Joseph Sinde Warioba (Waziri Mkuu mstaafu, Jaji mstaafu, Mwanamajumui wa Afrika)
10. Dr.Wilbroad Slaa (Mwanasiasa Nguli, Balozi mstaafu, Katibu mkuu mstaafu Baraza la Maaskofu, katibu mkuu wa zamani Chadema).

B: Wanatetea mkataba
1. Baba Levo (Chawa Mwandamizi)
2. Mwijaku (Chawa mwandamizi daraja la kwanza)
3. Zembwela (Msanii wa Futuhi aliyevamia taaluma ya habari)
4. Hando (Mwandishi aliyeamua kuharibu heshima yake ili kujaza utumbo mpana)
5. Kitenge (Dalali Mwandamizi daraja la kwanza)
6. Isaa Azam (Mtuhumiwa wa upinde)
7. Sophia(ni) Juma (Mtuhumiwa wa upinde)
8. Tivu ake (Msanii wa Futuhi)
9. Msukuma (darasa la 7 anayeamuni ana PhD bila kwenda darasani)
10. Kibajaji (Kepteni wa timu ya kusifu watawala ili kushibisha utumbo mpana)

Muuze na milima yote + Mbuga tulipwe kodi, nini kimebaki sasa
 
Back
Top Bottom