Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Habarini wadau,
Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba.
Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo husika au utakua ni halali hatakama tumesaini sisi tu wawili tunaoingia makubaliano?
Nauliza ili kama ikija kutokea changamoto yeyote basi mkataba uweze kutumika kwenye vyombo vya dola.