Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
google, acha kutafuniwa kila kitu, read intensively and extensivelyHabarini wadau,
Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba.
Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo husika au utakua ni halali hatakama tumesaini sisi tu wawili tunaoingia makubaliano?
Nauliza ili kama ikija kutokea changamoto yeyote basi mkataba uweze kutumika kwenye vyombo vya dola.
Tafuta mwanasheria awatengenezee hiyo contract. Au apitie huo mliotengeneza na kuboresha mapungufu. Hii itakusaidieni kulinda haki zenu.Habarini wadau,
Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba.
Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo husika au utakua ni halali hatakama tumesaini sisi tu wawili tunaoingia makubaliano?
Nauliza ili kama ikija kutokea changamoto yeyote basi mkataba uweze kutumika kwenye vyombo vya dola.
AsanteTafuta mwanasheria awatengenezee hiyo contract. Au apitie huo mliotengeneza na kuboresha mapungufu. Hii itakusaidieni kulinda halo zenu.
Ni vizuri mkaupeleka kwa mwanasheria ili uwe kihalali zaidi, na ikusaidie huko mbele ya safari kama ikitokea sintofahamu yoyoteHabarini wadau,
Ebana mimi nataka kuingia ubia na biashara flan ya mtu mwingine kama mwekezaji. Sasa makubaliano tiyari tunayo hivyo tupo kwenye hatua ya mkataba.
Naomba kuuliza je mkataba huo inabidi uwe umepitiwa na kusainiwa na mtu mwingine yeyote kama mwanasheria au mtendaji wa eneo husika au utakua ni halali hatakama tumesaini sisi tu wawili tunaoingia makubaliano?
Nauliza ili kama ikija kutokea changamoto yeyote basi mkataba uweze kutumika kwenye vyombo vya dola.
Asante mkuuNi vizuri mkaupeleka kwa mwanasheria ili uwe kihalali zaidi, na ikusaidie huko mbele ya safari kama ikitokea sintofahamu yoyote