Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

Mkataba wa bandari utavunjwa kwa pande mbili kuridhia, tutawahonga kipi waarabu watukubalie kuondoka kwa hiari?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
20.3. The termination of the agreement requires prior consent from both State Parties, and such consent should not be unreasonably withheld.

Hapo ni kwamba hata huko mbele tukihitaji bandari yetu basi NI LAZIMA waarabu nao wakubali kwa hiari kuiacha bandari.

Mkataba hauwezi kuvunjwa uniletrally (kwa pande moja) NI LAZIMA uvunjwe bileterally (kwa pande zote 2)

Tutawezaje kukaa meza moja na waarabu wakubali kutuachia bandari yetu kwa hiari?

Tutawahonga mlima Kilimanjaro, mgodi wa Tanzanite au kuwapa mkoa wenye madini?
 
Kuna nchi uko amerika ya kusini ziliwafukuza km mbwa wakakimbilia mahakamani
 
Kitila mkumbo!!!Mzee MKATABA huu unaisha lini?sikiliza majibu ya kitila mkumbo (aaah hata ndoa inavunjika)kusoma level ya PHD ni ujinga kama majibu ya mwalimu ndio Yale huko vyuoni kumeozaaaaaaa
 
Kitila mkumbo!!!Mzee MKATABA huu unaisha lini?sikiliza majibu ya kitila mkumbo (aaah hata ndoa inavunjika)kusoma level ya PHD ni ujinga kama majibu ya mwalimu ndio Yale huko vyuoni kumeozaaaaaaa
msomi muoga ni hatari zaidi
 
Back
Top Bottom