Mkataba wa DP World una nia nzuri lakini haukufuata utaratibu

Mkataba wa DP World una nia nzuri lakini haukufuata utaratibu

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa.

Kutokana na mapungufu hayo nashauri mkataba huu UFUTWE MARA MOJA na tuanze upya kutafuta wawekezaji wa kuendesha bandari kwa njia ya ushindani. Sisi wananchi ndiyo tumeiweka Serikali madarakani na ikubali ushauri wetu.
 
Back
Top Bottom