Mkataba wa IGA kati Tanzania na Dubai una uhalali?

Mkataba wa IGA kati Tanzania na Dubai una uhalali?

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Hivi mkataba kati ya Tanzania na Dubai una uhalali wowote wa kuitwa ni IGA? Yani una uhalali wa kuitwa mkataba kati ya nchi na nchi?

Inaonekana waliosani ni Dubai na Dubai ni mkoa tu katika UAE. Je mkoa wa Geita unaweza saini na Ujerumani huo mkataba ukaitwa IGA na kama siyo huu mkataba wanaosema wa nchi na nchi una uhalali gani si ni batili toka siku ya mwanzo?

Nimeona hii copy hapa chini mtandaoni sina hakika kama ndo sahihi zenyewe zinazoitwa kutiliana saini kati ya nchi na nchi.
1687461279165.jpeg
 
Back
Top Bottom