Imeelezwa kuwa waziri mkuu wa Slovak anajiandaa kufanya ziara wiki ijayo Russia kukutana na Putin kuzungumzia suala la usambazaji wa Gesi nchini kwake.
Mkataba wa sasa wa kupeleka Gesi unakaribia kuisha wiki chache zijazo.
Taarifa ya ziara hiyo imewashitua viongozi wa mataifa mengine ya umoja wa ulaya na kwamba kitendo hicho kitaleta sintofahamu/tension kwa jumuiya hiyo ya Ulaya.