Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika.
Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina masharti gani?
Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina masharti gani?