mbiza JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 529 Reaction score 135 Jun 17, 2014 #1 Habari wanajamvi, Nauliza katika ile deal ya Neymar na Barcelona iliyogharimu euro 57 milioni mbona neymar alipata hela nyingi euro mil 34 kuliko klabu yake ya Santos waliochukua euro mil 17 wakati alikuwa under contract nao?
Habari wanajamvi, Nauliza katika ile deal ya Neymar na Barcelona iliyogharimu euro 57 milioni mbona neymar alipata hela nyingi euro mil 34 kuliko klabu yake ya Santos waliochukua euro mil 17 wakati alikuwa under contract nao?
chumvichumvi JF-Expert Member Joined May 6, 2010 Posts 1,207 Reaction score 311 Jun 17, 2014 #2 kwa haraka haraka nadhani clause za mkataba wake na santos ulikuwa weak kiasi cha kuwezesha ilo kutokea
kwa haraka haraka nadhani clause za mkataba wake na santos ulikuwa weak kiasi cha kuwezesha ilo kutokea
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jun 17, 2014 #3 Utumwa mambo leo.
mbiza JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 529 Reaction score 135 Jun 17, 2014 Thread starter #4 FaizaFoxy said: Utumwa mambo leo. Click to expand... kivipi
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jun 17, 2014 #5 mbiza said: kivipi Click to expand... Asiyejuwa maana haambiwi maana.
mbiza JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 529 Reaction score 135 Jul 21, 2016 Thread starter #6 FaizaFoxy said: Asiyejuwa maana haambiwi maana. Click to expand... [emoji122]