Mkataba wa pango ni lazima usainiwe na Wakili ili kukubalika kisheria?

Yes. Mfano ukienda TRA na huo mkataba ambao hauna muhuri wa wakili kwa ajili ya kuomba TIN lazima watakwambia umtafute mwanasheria/wakili agonge muhuri na akupe EFD legal receipts.
 
Yes. Mfano ukienda TRA na huo mkataba ambao hauna muhuri wa wakili kwa ajili ya kuomba TIN lazima watakwambia umtafute mwanasheria/wakili agonge muhuri na akupe EFD legal receipts.
[/
Aksante sana, kama mwanasheria kanigongea muhuri mkataba wangu Wa chumbani ila hajanipa EFD legal receipts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…