Mkataba wa Simba na Sandaland, hesabu haziko sawa

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kwa kawaida unaposaini mkataba na kuonyesha Cheque basi tunatarajia jumla ya kiasi cha kwenye cheque kiakisi thamani ya muda wa mkataba unapodumu hadi kufikia tamati.

Je, mkataba wa Sandaland na simba una thamani ya kiasi gani katika kipindi cha muda wote huo wa miaka 2?

Sote tunatarajia Cheque iandikwe Bilion 4 (ambayo ni thamani ya mkataba wa miaka 2), sasa imekuwaje imeandikwa Bilion 4?

Sote tunafahamu Mkataba unaposainiwa ndipo Cheque nayo inaposainiwa (ili kuakisi thamani ya huo mkataba). Je kwa kiasi kilicho andikwa kwenye Cheque ndicho kiasi ambacho kiko kwenye mkataba?

Au Simba na Sandaland watasaini mkataba mwingine wa Bilion 2 wa mwaka wa pili pale tu mwaka wa mkataba wa kwanza utakapo tamatika?

Kama ni hivyo basi Sandaland ameamua kupima kina cha maji kwanza ili aone kama kuna faida au lah. Nadhani atakuwa amesukumwa pa kubwa na hasara aliyoipata mwenzake VunjaBei kwa miaka ile miwili.

IMG_20230617_000527.jpg
 
kataba wa Sandaland na simba una thamani ya kiasi gani katika kipindi cha muda wote huo wa miaka 2..?

Sote tunatarajia Cheque iandikwe Bilion 4( ambayo ni thamani ya mkataba wa miaka 4), sasa imekuwaje imeandikwa Bilion 4?
Mkuu umechanganyikiwa? Tofauti ni nini hapo ulipoandika? Au moja ipo kwenye mabano nyingine haipo? 🤣🤣🤣
 
Hizo ni Billion 2 ni kiasi ambacho kineingizwa kwenye account ya Simba kwa ajili ya msimu huu.

Na ndio maana hiyo cheque imeonesha kiasi hicho.

Kwa maana Mdhamini hawezi kutoa hela yote cash.

Ni sawa na mkataba wa mchezaji na Club, Club inaweza kusaini mkataba na mchezaji wa thamani ya 150M kwa miaka miwili.

Haina maana hiyo 100M inawekwa yote kwenye account ya mchezaji na kwamba wanamalizana moja kwa moja.
 
Kwa kawaida unaposaini mkataba na kuonyesha Cheque basi tunatarajia jumla ya kiasi cha kwenye cheque kiakisi thamani ya muda wa mkataba unapodumu hadi kufikia tamati.

Je mkataba wa Sandaland na simba una thamani ya kiasi gani katika kipindi cha muda wote huo wa miaka 2..?

Sote tunatarajia Cheque iandikwe Bilion 4( ambayo ni thamani ya mkataba wa miaka 2), sasa imekuwaje imeandikwa Bilion 4?

Sote tunafahamu Mkataba unaposainiwa ndipo Cheque nayo inaposainiwa(ili kuakisi thamani ya huo mkataba). Je kwa kiasi kilicho andikwa kwenye Cheque ndicho kiasi ambacho kiko kwenye mkataba?

Au Simba na Sandaland watasaini mkataba mwingine wa Bilion 2 wa mwaka wa pili pale tu mwaka wa mkataba wa kwanza utakapo tamatika?

Kama ni hivyo basi Sandaland ameamua kupima kina cha maji kwanza ili aone kama kuna faida au lah. Nadhani atakuwa amesukumwa pa kubwa na hasara aliyoipata mwenzake VunjaBei kwa miaka ile miwili.View attachment 2660037View attachment 2660036
Nendeni mkashitaki FIFA haraka kabla hawajafunga dirisha la malalamiko
 
Hizo ni Billion 2 ni kiasi ambacho kineingizwa kwenye account ya Simba kwa ajili ya msimu huu.

Na ndio maana hiyo cheque imeonesha kiasi hicho.

Kwa maana Mdhamini hawezi kutoa hela yote cash.

Ni sawa na mkataba wa mchezaji na Club, Club inaweza kusaini mkataba na mchezaji wa thamani ya 150M kwa miaka miwili.

Haina maana hiyo 100M inawekwa yote kwenye account ya mchezaji na kwamba wanamalizana moja kwa moja.
Wewe huwa Una akili kuliko hao wengine, hebu nisaidie Mimi na wajinga wenzangu tunaopenda ufafanuzi mrefu ndo tuelewe.
Kilichoonyeshwa pale si hundi inayopelekwa benki Bali mfano wake. Kulikuwa na ugumu gani kuandika 4B halafu inayokwenda benki mwaka huu ikaandikwa 2B?
Wakati mwingine tujifunze wasiwasi ndo akili, kwenye mikataba mingi ikiwemo ya hivi vilabu maarufu vya soka changalamacho ni kawaida ili kuchota mawazo ya Wanachama na kuchoma Mpinzani. Unaweza kuona shughuli nzima ya Simba inavyojaa maneno ya kuibeza Yanga na ukienda kwenye shughuli ya Yanga agenda kubwa ni Simba.
Je, ni kweli mkataba wa Vunjabei tuliwahi kutangaziwa 400m kabla haujaanza?
 
Kwa kawaida unaposaini mkataba na kuonyesha Cheque basi tunatarajia jumla ya kiasi cha kwenye cheque kiakisi thamani ya muda wa mkataba unapodumu hadi kufikia tamati.

Je mkataba wa Sandaland na simba una thamani ya kiasi gani katika kipindi cha muda wote huo wa miaka 2..?

Sote tunatarajia Cheque iandikwe Bilion 4( ambayo ni thamani ya mkataba wa miaka 2), sasa imekuwaje imeandikwa Bilion 4?

Sote tunafahamu Mkataba unaposainiwa ndipo Cheque nayo inaposainiwa(ili kuakisi thamani ya huo mkataba). Je kwa kiasi kilicho andikwa kwenye Cheque ndicho kiasi ambacho kiko kwenye mkataba?

Au Simba na Sandaland watasaini mkataba mwingine wa Bilion 2 wa mwaka wa pili pale tu mwaka wa mkataba wa kwanza utakapo tamatika?

Kama ni hivyo basi Sandaland ameamua kupima kina cha maji kwanza ili aone kama kuna faida au lah. Nadhani atakuwa amesukumwa pa kubwa na hasara aliyoipata mwenzake VunjaBei kwa miaka ile miwili.View attachment 2660037View attachment 2660036
Kwani ile billion 20 iko wapi?
 
Kwa kawaida unaposaini mkataba na kuonyesha Cheque basi tunatarajia jumla ya kiasi cha kwenye cheque kiakisi thamani ya muda wa mkataba unapodumu hadi kufikia tamati.

Je, mkataba wa Sandaland na simba una thamani ya kiasi gani katika kipindi cha muda wote huo wa miaka 2?

Sote tunatarajia Cheque iandikwe Bilion 4 (ambayo ni thamani ya mkataba wa miaka 2), sasa imekuwaje imeandikwa Bilion 4?

Sote tunafahamu Mkataba unaposainiwa ndipo Cheque nayo inaposainiwa (ili kuakisi thamani ya huo mkataba). Je kwa kiasi kilicho andikwa kwenye Cheque ndicho kiasi ambacho kiko kwenye mkataba?

Au Simba na Sandaland watasaini mkataba mwingine wa Bilion 2 wa mwaka wa pili pale tu mwaka wa mkataba wa kwanza utakapo tamatika?

Kama ni hivyo basi Sandaland ameamua kupima kina cha maji kwanza ili aone kama kuna faida au lah. Nadhani atakuwa amesukumwa pa kubwa na hasara aliyoipata mwenzake VunjaBei kwa miaka ile miwili.

View attachment 2660037
Naona hii 'exodus ' inayoendelea hapo utopoloni imewawehusha mnajiandikia kila upuuzi kujifariji na bado.
 
Wewe huwa Una akili kuliko hao wengine, hebu nisaidie Mimi na wajinga wenzangu tunaopenda ufafanuzi mrefu ndo tuelewe.
Kilichoonyeshwa pale si hundi inayopelekwa benki Bali mfano wake. Kulikuwa na ugumu gani kuandika 4B halafu inayokwenda benki mwaka huu ikaandikwa 2B?
Wakati mwingine tujifunze wasiwasi ndo akili, kwenye mikataba mingi ikiwemo ya hivi vilabu maarufu vya soka changalamacho ni kawaida ili kuchota mawazo ya Wanachama na kuchoma Mpinzani. Unaweza kuona shughuli nzima ya Simba inavyojaa maneno ya kuibeza Yanga na ukienda kwenye shughuli ya Yanga agenda kubwa ni Simba.
Je, ni kweli mkataba wa Vunjabei tuliwahi kutangaziwa 400m kabla haujaanza?
Kwanza mimi sina akili

Kingine ni kwamba kama ulivyosema sema kuwa hiyo ni Mfano wa hundi. Na hakukuwa na shida ya wao kuweka 4B.

Lakini isingekuwa na mantiki, maana yake hundi ni utambulisho wa kuonesha hicho kiasi kilichoandikwa kwenye hundi ndio kilichowekwa benki.

Maana yake ukiandika 4B ina maanisha hiyo ni pesa taslimu ambayo imewekwa kwenye account ya Club.

Lakini.

Kama umetilia mashaka uhalisia wa hicho kiasi ambacho kimetangazwa kwasababu tu hakijaandikwa kwenye hundi ambayo wewe umesema sio halisia bali ni mfano tu.

Je hakujawahi kutokea scenario kama hii, watu wakafanya hivyo unavyopendekeza halafu bado raia wakapinga kuwa ni uongo?

Nakukumbusha kwenye 20B alizoweka MO, alikuja na hundi inayoonesha 20B zimewekwa kwenye account ya Simba.

Lakini je hiyo ilizuia critics wasipinge?

Inawezekana hata wewe ulikuwa ni mmoja wao walimuita MO muhuni kwasababu ya ile hundi.

Sasa leo hii wangeweka hundi ya 4B, hiyo ingekufanya uamini kama mwanzo 20B hukuamini?
 
Back
Top Bottom