Kelvin R Nyello
Member
- Jul 15, 2018
- 61
- 127
good question. nasubiria majibu yao hapa?Write your reply...ni mkataba gani umeshawahi kuwekwa hadharani?
wabunge gani? Hawa vilaza wachumia tumbo wa ccm?upelekwe kwa wabunge wetu wausome na wauchambue kama karanga.
wabunge ndio wasemaji wetu.
kama kuna tatizo watujuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wakati mwingine unakuwaga na akiliWrite your reply...ni mkataba gani umeshawahi kuwekwa hadharani?
Watu waliompiga chengaShujaa pamoja na kuponda ule mradi hakuthubutu kuweka mkataba wazi....
Mfadhili wako alichemkaHapana hakuna haja ya kufanya. Hivyo.
Bandari ijengwe tunataka maendeleo. Ukitaka kumsikiliza kila mtu. Hautasogea.
Ccm haijawahi kuwa sehemu salamaNchi hii bwana,kwanini tamaa ya miradi ya aina moja wakati midogo hatujaimaliza na kuisimamia.
Wakati wa mradi wa gesi mtwara tuliambiwa mtwara itakuwa Dubai.gesi yenyewe haijawafikia wananchi walio wengi.
Mbunge mwenyewe Kibajaji?upelekwe kwa wabunge wetu wausome na wauchambue kama karanga.
wabunge ndio wasemaji wetu.
kama kuna tatizo watujuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba hautakiwi kuwa wazi ila masharti ya wachina yenye utata yawekwe wazi kwanza ili tujadili then wahusika waone yapi ya kurekebisha kisha wafunge mkataba huo na kazi iendeleeWrite your reply...ni mkataba gani umeshawahi kuwekwa hadharani?
Hebu tafuta kuweka mambo sawa au usahihi, ni Karume Kenge au Kalume Kenge?Mkataba ukiwekwa wazi mkiona vile vipengele mliovyoaminishwa havipo mtasema sio huo, mfano mzuri ni ile ripoti ya CAG mlivyoona yule Karume kenge amepigwa nyundo za kichwa na miradi yake ya upigaji mkaanza kulalamika eti ile ripoti imechakachuliwa ili kuuwa "legacy" ya Karume kenge.