Mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uwekwe wazi wananchi tuusome kuepusha upotoshaji unaoweza kufanyika

Ianze kuwekwa wazi mikataba ya ndege,bwawa la Nyerere, airport ya Chato na Mayanga wake ndio ifuate huo wa Bagamoyo itapendeza sana
 
Ukisoma maelezo hapo juu inaonyesha Marehemu alishawishika na propaganda zaidinzilozokuwa zinaendelea maeneo mengine duniani Kuhusu China kuliko kutazama uhalisia wa mradi.

Afu china ananyoshewa kidole wakati ni mradi wa pande 3 na kwamba hakuna mshirika mwenye chini ya hisa 10% sasa ishu ya kukosa manufaa inatoka wapi?

Mwisho kwa mujibu wa afisa wa ubalozi wa China na muambata wa mazungumzo ya kibiashara kwenye huo mradi walishakubaliana kutoka kwenye lease ya miaka 99 kuja 33 na mambo ya kikodi yatakuwepo on top of that nchi haijazuiwa kuendeleza bandari zingine.Shida eti Tzn inataka labda 50/50 hii haiwezekani na ni upuuzi wa Serikali ya Magu maana wao ni wawekezaji na watoa fedha wakuu na kwamba watahitaji kurudisha pesa kwanza.

Kama Tzn ina hofu si nayo iweke mzigo mezani Ili risks wabebe pamoja? Kingine ni ujinga kutazama uwekezaji wa Tilioni 45 kwa mtizamo wa kodi tuu bila kuangalia value chain yake . Materials za ujenzi karibu zote zitatoka Bongo,waajiliwa wengi pia watatoka bongo shida iko wapi?

Ni mambo ya kijinga kama Serikalini itashindwa kutekeleza mradi huu na mingine kama mchuchuma,LPG Lindi kwa akili za eti tupate 50/50..hii haipo..Magu na kelele zote za makinikia hadi kuunda kampuni ya pamoja imeleta 50/50? Jibu ni hapana,ilivyoshindikana kule na huku haiwezekani maana hutoi pesa,wala utaalamu unatakaje 50/50?

Mradi huu ni muhimu sana kuifanya Tzn kitovu cha biashara na logistics kwa Africa maana una multiplayer effects kubwa kwenye uchumi in long ran kuliko propaganda uchwara za hofu zilizojaa
 
Katika projects kubwa dunia, mwekezaji hawezi kuwa moja. Hata siku. Ofcourse conglomerate ni makumpuni zaidi ya moja na kutoka zaidi ya nchi moja. Je, hao wote ni majambazi?
 
Hahaha!

Kuna mkataba gani ulishawahi uona hadharani?

Yaani CCM hii ikuwekee mikataba yao ya kidhalimu hadharani ili uone madudu wanayoyakubali huko!

Wewe jiandae kisaikolojia tu, miaka mingi inayokuja atatokea Rais mwingine atakuambia pale Bagamoyo tulipigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…