Mkataba wa Vunjabei kutangazwa kwenye Jezi ya Simba uko wapi?

Mkataba wa Vunjabei kutangazwa kwenye Jezi ya Simba uko wapi?

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Bila kupepesa maneno ni suala la kutafakari na kuhoji,

Vunjabei ametoa fedha kwa ajili ya haki za mauzo ya jezi za Simba. Hik kiwang cha Fedha atakipata ama na faida kama ataendelea kuuza jezi kwa msimu huu mzima.

Tunachojiuliza ni kuwa mtengeza Jezi ameweka Logo yake kwa chini pale na inakuwaga moja kama UhlSport , Umbro n.k .

Pia ikumbukwe Vunjabei siyo mtengenezaji lakini hapa anaweza kutambulika kama mtengenezaji kwa muktadha wa watanzania. Sasa ni kipi kilichomfanya Vunjabei aweke jina lake tena kwenye Shingo?. Anamlipa nani kwa hilo Bandiko?,kwa makubaliano Yepi?

Si kila jambo ni la kupuuza tu, wakati anakataa ofa ya AZA Mo aliwahi kusema Simba ina thamani kubwa na si kukubalikukubali tu kila dili. Sasa inakuwaje Vunjabei anaweka Logo lakini pia sehemu nyingine anaweka brand yake pia tena sehemu ambako kuna brand ya mdhamini pia(Shingoni).

jezi simba.jpg
 
Kujadili Jina la Vunja Bei na Mo 29, hili ni Tangazo tosha la Jezi husika.

Kumjadili Mama J, hiyo nayo ni tangazo la Jezi.
 
Vunja biei ni Mo Sport / lakini amepitia mlango wa nyuma ili tuone ni vitu viwili tofauti
 
Kiukweli hapo kwenye MO29 siyo powa, maana kuna watu watataka kuprint majina yao sasa hapo haiwezekani Tena.
 
Back
Top Bottom