Mkataba wake ukoje?

baba junior

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
143
Reaction score
30
Nimeliona tangazo la airtel alofanya şharo na mzee majuto leo star tv,je mkataba unasemaje katika hilo.Naomba mnifahamishe wana jamvı!
 
Mzee wa TFDA unataka kusaidiwa kitu gani hasa, nakala ya mkataba?kwanini linaonyeshwa start tv na ww umezoea ITV, kwanini linaonyeshwa huku sharo kafa?maslah?unakata kujua mkataba unakuaje baada ya mhusika mmoja wapo kufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…