Mkataba wowote ukiwa na dosari kusheria je ni halali?

Mkataba wowote ukiwa na dosari kusheria je ni halali?

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Posts
1,405
Reaction score
521
Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
 
Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE.
Wakili umetumia lugha ngumu mno hebu nijuze kwa lugha rahisi tafadhari
 
Back
Top Bottom