D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Oct 2, 2020 #1 Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 Oct 4, 2020 #2 Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE.
Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE.
D deo paul555 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2018 Posts 1,405 Reaction score 521 Oct 7, 2020 Thread starter #3 anophelesi said: Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE. Click to expand... Wakili umetumia lugha ngumu mno hebu nijuze kwa lugha rahisi tafadhari
anophelesi said: Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE. Click to expand... Wakili umetumia lugha ngumu mno hebu nijuze kwa lugha rahisi tafadhari
Karim Mussa Member Joined May 6, 2019 Posts 21 Reaction score 5 Oct 7, 2020 #4 anophelesi said: Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE. Click to expand... naungaa mkonoo
anophelesi said: Inategemea ni dosari ya vipi. Dosari katika mkataba inaweza kufanya mkataba huo kuwa VOID, VOIDABLE, ILLEGAL au UNENFORCEABLE. Click to expand... naungaa mkonoo