SAMPLE NINAZO NYINGI SANA, LAKINI UTANIPA SHILINGI NGAPI? kama bure, huwezi pata toka kwa mtu yeyote yule...tafadhali acha ubahili, tafula lawyer umlipe kidogo, uingie mkataba mbele yake ili iwe rahisi yeye pia kuwa shahidi wako kukutetea matatizo yakikukuta mbeleni kutokana na kile unachoingia mkataba...ok?