Mrs Kharusy hujamuelewa Karucee yeye alifkir ni mkate ule wa ufuta ambao tunachoma pan yake unaroeka na chumvi na unageuza juu kwenye mkaa hata mimi nlifkir hivo
Mrs Kharusy hujamuelewa Karucee yeye alifkir ni mkate ule wa ufuta ambao tunachoma pan yake unaroeka na chumvi na unageuza juu kwenye mkaa hata mimi nlifkir hivo
Ha ha nimegundua why chapati za jana zilinitosa as sikuvaa pajama langu
Yap unakata km unavyokata cake.
Yaani kama sio picha ningebaki macho juu.
Rukhsa kunicheka.
Sasa mie nlijiuliza mkate wa ufuta tunaojua sisi hauwekwi sukari wala siagi ndani kumbe mkate wa ufuta huo Mrs Kharusy ahsante kwa kushare hii kitu nzuri na inavutia
Yaani ni very easy bt delicious km unapenda sukar km mm... lol
Ila hoo baking paper ni muhimu sababu mkate ni mlaini mno so usipoweka unagandia..
Yaani kama sio picha ningebaki macho juu.
Rukhsa kunicheka.
Sasa mie nlijiuliza mkate wa ufuta tunaojua sisi hauwekwi sukari wala siagi ndani kumbe mkate wa ufuta huo Mrs Kharusy ahsante kwa kushare hii kitu nzuri na inavutia
Welcome dear. Mpikie mkwe wangu ajifunze kutafuna ;-)
Yaonekana mtamu kweli shoga angu tualikane basi lol
Subir nkuite BAK labda atakusaidia kukufahamisha hadi uweke hizo picha
Kwenye kuupiga shurti uuvalie suruali mi nna suruali special kwa kuupiga.
Hii njia mi naijua as sina oven
Welcome dear. Mpikie mkwe wangu ajifunze kutafuna ;-)
Ntapika mie nile yeye atapata kwenye nyonyo
BAK salam haigombi...ila mm nishatayarisha kibubu..lolKuweka picha kwa simu ni shughuli mie wala sipotezi muda wangu, kwa mchina ndio inaweza kushindikana kabisa bahati mbaya sijawahi kumtumia mchina. Ukiona nimeweka picha hapa basi ujue nimetumia PC. Msalimie sana TMA.
Kuweka picha kwa simu ni shughuli mie wala sipotezi muda wangu, kwa mchina ndio inaweza kushindikana kabisa bahati mbaya sijawahi kumtumia mchina. Ukiona nimeweka picha hapa basi ujue nimetumia PC. Msalimie sana TMA.
Ww tena!! At any time T!!
Kuweka picha kwa simu ni shughuli mie wala sipotezi muda wangu, kwa mchina ndio inaweza kushindikana kabisa bahati mbaya sijawahi kumtumia mchina. Ukiona nimeweka picha hapa basi ujue nimetumia PC. Msalimie sana TMA.
LOL!!!! Hahahahaha mie mzima kabisa wa afya namshukuru sana Mungu wetu, I hope you are doing well too ππ