Mkate wa ufuta

Huu mkate nkipika ntakula na kahawa yangu mwenyewe.....kuna mkate wa kipakistan mzuri nao unafanana na huo nliwahi eka hapa
 
Hahhah haswaaaa..
 
Mhhhhh!!!! πŸ™‚πŸ™‚ ahsante kwa ufafanuzi naona kutakuwa na patashika na nguo kuchanika na kibubu kipi kitakuwa kimeshiba kupita kiasi πŸ™‚πŸ™‚ Honger Mrs Kharusy naona speed yako si ya kawaida πŸ™‚πŸ™‚

Last edited by a moderator:

Hahaha...ujue tumeanza kulea akiwa hajaona jua/snow bado!!....ss hadi hapo inakubidi ukae pembeni ;-)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…