Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Kwema wakuu ?
Ninasikia Madilu system aliwahi kufika Dar miaka hiyo. Kwenye wimbo wake unaitwa Djaffar amemtaja mtu mmoja anaitwa Anielo (sina hakika na spelling) kwamba mtu huyu ni mkazi wa Dar es salaam
Lengo la uzi huu ni kumfahamu huyo bwana alikuwa nani na alikuwa na ukaribu gani na Madilu system kwani nafahamu jina la wimbo Djaffar ni dedication kwa Djaffar mwandido. Pia waliotajwa kama Abdalla shebe hawa ni wakenya
NB
Kwenye wimbo huu theme ni kwamba Madilu anamuaga mkewe kwamba anaenda Kenya kutafuta maisha huko Mombasa ila moyo wake unakuwa mzito kumuacha mkewe nyuma
"Ngai nakati bisanga nakeyi Mombasa .... mayi na miso kotanga ngai lokola Kenya"