Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hili jambo limekuwa gumu sasaLive Jambo limefika kwa wananchi, babu anasema tulidai uhuru ili kumiliki bandari na maliasii zetu zote. Je mmeuza bandari au la huko bungeni ? (Wananchi makofii)
wabunge wa 2020 wa CCM wahojiwe katika majimbo yao
Mbunge kapata wakati mgumu sanaLive Jambo limefika kwa wananchi, babu anasema tulidai uhuru ili kumiliki bandari na maliasii zetu zote. Je mmeuza bandari au la huko bungeni ? (Wananchi makofii)
wabunge wa 2020 wa CCM wahojiwe katika majimbo yao ili lipate jibu sahihi kisiasa (political solution) kwa jinsi lilivyowauma wananchi ili waridhike kuwa wabunge wao hawajapiga mnada mali za umma bila kuwauliza wananchi .
Ungetarajia mwana kijiji kama huyo kuhoji hilo la bandari?
Inafikirisha!
Mkazi wa Kata ya Ruaha katika Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa Joseph Mkazi akiuliza swali kwa Mbunge wa Iringa mjini, Dk. Jesca Msambatavangu (hayupo pichani) kuhusu Bandari ya Dar es Salaam kama imeuuzwa au la, ambapo alijibiwa kwamba bandari hiyo haijauzwa, bali imekodishwa kwa mwekezaji mpya ambaye ni Kampuni ya DP World ya Dubai wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumamosi Julai 01, 2023. (Picha na Friday Simbaya).
Nipashe