Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki.

Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni msongo wa mawazo baada ya June 28,2020 usiku kujaribu kumbaka Binti yake wa miaka 10 na kushindwa kutimiza lengo.

1593674486222.png
 
View attachment 1495107
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Shule gani, inamilikiwa na nani, na ni aina gani ya bunduki ametumia kujiua ?
Mbona naiona bastola pembeni?
 
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.

Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.

🤣🤣🤣🤣hii hali
 
Natumai hamjambo waungwana.

Wakuu hivi karibuni kumekithiri sana matukio ya ubakaji, cha kusikitisha matukio mengi wahusika wanabaka watoto wao, huyu mwingine naona baada ya jaribio lake la kumbaka mwanae wa miaka 9 kufeli kaamua kujipiga risasi kabisa.

Je, wakuu kwa mitizamo yenu tatizo litakua wapi na utatuzi wa jambo hili ni upi?
 
Ni roho ya lipepo linalokuja katika mwili wa mwanadam.tuzidi kujiombea Rehema pamoja na vizazi vyetu kila uchwao.hali ni mbaya mno
 
Ni roho ya lipepo linalokuja katika mwili wa mwanadam.tuzidi kujiombea Rehema pamoja na vizazi vyetu kila uchwao.hali ni mbaya mno
yawezekana mkuu, maana haiwezekani mwanao wa dam kabisa upate ujasiri wa kumla dah!
 
Ubakaji ni uchaguzi.

Ni aina fulani tu ya maisha ambayo mtu ameamua kujichagulia.
 
Shirki
Kujiendekeza kisingizio Cha shetani
Kutokuwa na maadili

Suluhu kujitahidi kuepuka msukumo wa Kufanya ubakaji
Kuwa na hofu ya Mungu
Kuishi katika maadili yaliyo mema.
 
Back
Top Bottom